Scandals na matukio ya mastaa yaliyovunja rekodi 2014..

Mi mbavu sinaa milioni 400 watu oooi ana pesaaa chafuuu kumbe uharo tu

Kama kuturusha roho tu aliweza yani mama ubaya sio mtu kabisa hata haaminiki hata alivyosema eti alilia sana zile picha za mama yake mi namuona muongo tu, wanaolia hawasemi tunawaona yule wema atakuwa mchawi tu kama akina warumi
 
Ivi vile vifaa ambavyo baby wake alisema atamnunulia ndani ya wik mbili alinunua? Anacheza na ndomo yule, yeye mwenyewe vifaa
 
Kama kuturusha roho tu aliweza yani mama ubaya sio mtu kabisa hata haaminiki hata alivyosema eti alilia sana zile picha za mama yake mi namuona muongo tu, wanaolia hawasemi tunawaona yule wema atakuwa mchawi tu kama akina warumi

Tena mchawi wa kuwanga mchanaaa
 
Mwaka bado haujaisha

Au ulikuwa unamaanisha nusu mwaka?
 
Back
Top Bottom