Scandinavia yafukuzwa kwa kutolipa pango!

Scandinavia yafukuzwa kwa kutolipa pango!

mgomba101

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
1,821
Reaction score
710
Vifaa vya kampuni ya scandinavia vikiwa vimetolewa nje na kampuni ya udalali ya Yono.


scandinavia_nje.jpg
 
Hawa wahindi/waarabu wanacheza na akili za serikali na wakala wa ujenzi,majanja sana hawa kwenye kila biashara,wanataka kudhulumu wapate faida aharamu...anzia kwa scandinavia kuja green!usanii mtupu!
 
Wizi mtupu huo ni uhuni wa mchana kweupe, jamaa kaanzisha kampuni kubwa ya green star inatumia vituo vya scandinavia eti ni kampuni ya mdogo wake, hiyo ni njia ya kuizika scandinavia na kuendelea na green star , chai ni ile ile kimebadilika kikombe. karaga bao
 
Hii biashara ya Usafiri sielewi ina nuksi gani? inaanza kampuni ndogo na vijibasi au mabasi then inakuja kuwa kubwaaa mwishowe inakuja kufa kibudu... inanitia hofu kwani na mimi naifanya.... na wengi hufanya na kuuza mabasi yao na wengine huishia kuyapaki majumbani au kuyaacha yakifia garage mwishowe huuzwa kama chuma chakavu... hii biashara inashahidiana na ile ya madini niiogopayo japo nilishawawi kuyachimba baada ya kumaliza seco
 
Back
Top Bottom