Scania 124 ya kukodi

Scania 124 ya kukodi

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
Habari za leo wadau

Natafuta scania la kukodi kama mtu hana mizigo mimi ninayo

Namlipa kwa mwezi kiasi tutakacho kubaliana au kwakila mzigoninaosafirisha

Scania iwe nzima

Kwa sasa sina uwezo wa kununua used kutoka nnje


Nalipa pesa inadvance kila safari


Akhsante


Nakaribisha maoni
 
Daaah pambana kupata kutoka kwa watu binafsi ila kwa kampuni hupati.
Hongera kwa juhudi mungu akutangulie.
 
Back
Top Bottom