Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Hiyo Majinja kwenye speed bump au Hump anapita bila kupunguza mwendo, alarm unaisikia hafu anapita tu, barabara ya Tunduma-Swanga ina matuta hatari lakini jamaa anakimbiza hatari, au kupanda Kitonga utaipendaHuu Moto hatariView attachment 1193145
Mkuu ingawa umeendesha ila trust me, mmarekani haja wahikuwa na engine bora kushinda Sweden.Wewe umewasilisha lakini haujawa kuziendesha ila mimi nimeziendesha sana kwa uzoefu ni kwamba Engine za Cummins zipo aina 3 za china ndio hewa ila ukipata zenyewe za marekani au Austalia ziko bomba sana Ila hizi za China ni hewa kabisa Golden Dear zina 360 Hp lakin bado 310Hp zinamtesa sana sabb kwnye Muinuko zinasinzia kabisa hata kama ununue leo then Kilimanjaro nyingi ni P270 yaan HP 270 lakini bado hizo Cummins zinapata tabu mno
Muwekezaji NF tunduma yeye ndo mmbabe kuleHiyo Majinja kwenye speed bump au Hump anapita bila kupunguza mwendo, alarm unaisikia hafu anapita tu, barabara ya Tunduma-Swanga ina matuta hatari lakini jamaa anakimbiza hatari, au kupanda Kitonga utaipenda
Hiyo Majinja kwenye speed bump au Hump anapita bila kupunguza mwendo, alarm unaisikia hafu anapita tu, barabara ya Tunduma-Swanga ina matuta hatari lakini jamaa anakimbiza hatari, au kupanda Kitonga utaipenda
Angalia majinja anachofanywa na Golden deerMuwekezaji NF tunduma yeye ndo mmbabe kuleView attachment 1193770
Duh...salute mkuu.Torque ni maximum angular force available
Horse power ni maximum Power ya engine
Katika malori tuna msemo use torque and not power to haul, Maana kuwa ukitaka kubeba mizigo tumia uwezo wa engine na sio mabavu ya engine
Ki uhalisia diesel engine huwa Inatoa maximum torque katika engine revoliutions ndogo Sana up to 1400 rpm Maxx, yaan ikizid 1400 rpm, torque hupungua na power kuongezeka kadiri ya mizunguko, hii ndo sababu katika mchezo ya spinning diesel engine haziwezi sababu huwa torque unapatikana mwanzo tu, unlike petrol cars, ambazo torque hupatikana kadiri unavoitafuta power,
hii pia ndio imepelekea malori kuwa na gear nyingi( 12 Scania, daf iveco up to 16.) lengo ni kuwa dereva aweza ku negotiate speed bila Kutoka kwenye max torque range, malori yangekua na gear tano kwa mfano, yasinge kuwa economical, sababu muda mwingi dereva angekuwa anaendesha kwa kufata power na si torque
Mfano tuchukulie Volvo ya gear 16. Volvo nyingi max torque huwa ni 1300 rpm, Dereva a naweka namba Moja, na kuvuta moto hadi 1300 rpm, kwa muda huo speed inakuwa may be 6km/h, , akiweka namba mbili rpm itashuka had 700rpm, anavuta Tena moto had 1300rpm kwa muda huo speed inakuwa may be 13km/h, sequence ni hiyo mpaka Lori linapata speed ya kutosha bila Kutoka nje ya 1300 rpm.
Para ya mwisho imefanya mada kuwa interesting.Torque ni maximum angular force available

akili zako chengaZile Lori ambazo zikipanda mlima znatoa sauti kama znasikilizia utam ni zipi?.....utaskia....mbuuuuuuuuuuny ooouuuuuh......mbuuuuuuuuuny oouuuh!!!!...×10 mpka mlima uishe
Nazikubali sana izo
Hiyo ngao yote mbele ya nn? anataka kugongana au
Mkuu kama International ni gari ya kimarekani wao kweli ni bora Zimbabwe yamejaa hayo tuu utadhani wanapewa bure na uliza bei yake na ubora kama unafanana na International...Wasomali tunaonunua nao magari minada ya SA wanawashangaa watanzania kukariri na Scania wakati kuna Actros za kibabe zaidi Scania hapo anasubiri mbali Sana...Mkuu ingawa umeendesha ila trust me, mmarekani haja wahikuwa na engine bora kushinda Sweden.
Cummins N14 uliwahi kuwa nominated na kushinda kuwa the world's longest in service diesel engine, but then ikaja kuonekana ilipendelewa kwa sababu haikuwahi kutumika Africa na brazil sehemu ambazo kweli ni ngumu, Scania 14 litres insemekana ndo worlds longest serving diesel engine, na mpaka Leo kuna ushaidi wake maana bado zipo barabarani
Engine za kimarekani, Cummins, Detroit na catapiler Zinatamba tu kwa kuwa zinatoka USA, In reality hazina maajabu
Sidhani kama upo barabarani ambapo real world perfomance zinaoneakana , Actross, axor haz,ina ubavu wa kuiacha scania unless hiyo scania iwe old model hasa. Ni stori tu za mtaani zinaibeba mercedesMkuu kama International ni gari ya kimarekani wao kweli ni bora Zimbabwe yamejaa hayo tuu utadhani wanapewa bure na uliza bei yake na ubora kama unafanana na International...Wasomali tunaonunua nao magari minada ya SA wanawashangaa watanzania kukariri na Scania wakati kuna Actros za kibabe zaidi Scania hapo anasubiri mbali Sana...
Unaleta ubishi tuu Mkuu tulioa na Scania tunatamani tuwe na Actros tunaona zinavyofanya kazi Mimi Nina R 420 inatoka Johannesburg ,Dar na Lubumbashi, bei ya Actros iliyotumika mwaka zikiwa sawa na Scania unatapata Scania used mbili..kuna bwana mdogo yeye kaanza na Actros anafanya vizuri wasafirishaji wengi tunatamani kuwa na Actros yenyewe...hizo iveco zipo nazifahamu nani anayo kwetu huku huko sokoni tunaona ni makampuni machache yanayosafirisha vitu vizito ndio wanayo...Sidhani kama upo barabarani ambapo real world perfomance zinaoneakana , Actross, axor haz,ina ubavu wa kuiacha scania unless hiyo scania iwe old model hasa. Ni stori tu za mtaani zinaibeba mercedes
Axor ya mwaka 2017, haitiiagi mguu kwa scania r440 ya mwaka 2012, nimeshudia mara kadhaa hilo
Kwa sasa lori poweful duniani inatoka kwa Volvo, 750 hp ikifuatiwa na Scania R730 ,
Kiufundi scania ni gari inayoweza kutumika na maskini sana japo kuinunua mpya ni gari ghali sana , scania wana kitu wanaita modular concept , yaan parts zinaingiliana sana kwa engine zao tofauti tofauti, na ni moja ya gari unayoweza kufanya ovahaul ya puston moja na ukaendelea na maisha
Nipo industry hiyo ila ni ushauri tuu, route uliyozumgumzia halafu ukanunua r420,? Ulikuwa serious kweli kwenye maamuzi? Mnapataga ushauri wapi?Unaleta ubishi tuu Mkuu tulioa na Scania tunatamani tuwe na Actros tunaona zinavyofanya kazi Mimi Nina R 420 inatoka Johannesburg ,Dar na Lubumbashi, bei ya Actros iliyotumika mwaka zikiwa sawa na Scania unatapata Scania used mbili..kuna bwana mdogo yeye kaanza na Actros anafanya vizuri wasafirishaji wengi tunatamani kuwa na Actros yenyewe...hizo iveco zipo nazifahamu nani anayo kwetu huku huko sokoni tunaona ni makampuni machache yanayosafirisha vitu vizito ndio wanayo...
Mkuu sio kweli hata kidogo Nilikaa mafinga kama mwezi n daily y kwanza kupita Majinja n mara chache Golden Deer...pia karibu mara 10 tumewahi kukimbizan n Hiyo Deer alisoma upepo
Sea Never Dry
Mkuu nakuunga mkono hapo kwenye engine za mmarekani kupewa promo kubwa na zikija kwenye utendaji ni za kawaida.Mkuu ingawa umeendesha ila trust me, mmarekani haja wahikuwa na engine bora kushinda Sweden.
Cummins N14 uliwahi kuwa nominated na kushinda kuwa the world's longest in service diesel engine, but then ikaja kuonekana ilipendelewa kwa sababu haikuwahi kutumika Africa na brazil sehemu ambazo kweli ni ngumu, Scania 14 litres insemekana ndo worlds longest serving diesel engine, na mpaka Leo kuna ushaidi wake maana bado zipo barabarani
Engine za kimarekani, Cummins, Detroit na catapiler Zinatamba tu kwa kuwa zinatoka USA, In reality hazina maajabu
Hili lina ukweli asilimia zote.. Nimeendesha Bus flani ni scania 114, hp380 nilikuwa nainuka kitonga na 70kph kama hakuna vicheche mbele! Na mtoa mada kadanganya kuwa kisa speed ya zhongtong ni 140 basi mwendo ni mkubwa kuliko scania yenye 120kph. Aangalie ukiwa na gari ndogo unatembea 160kph lakini itakuja bus scania yenye 120kph inakukata kama umesimama... Nadhani ameangalia tu maandishi kwenye darshbod ila hajawahi kuzijaribu apate uhakika wa anachoandika.. Kingine kasema golden deer zinasumbua sana scania, amesahau kwasasa gari zote zinatembea mwendo sawa ila ushapu wako kwenye vituo au kuweza kulipia tochi za kwenye 50kph zitakufanya njia nzima utembee 84kph wakati mwenzio akifika kwenye 50kph anapunguza, unategemea watafika sambamba?? Saizi kuwahi zaidi ya mwenzio ni ujanja wako tu njiani sio uwezo wa gari. Labda kupanda milima tu ndo scania itawahi zaidi kumalizaTorgue (mechanics) is force that tends to cause rotation, .ni nguvu inayopelekea kusababisha mzunguko, kwa hiyo kwa scania ina nguvu kubwa mlimani, inaweza kukupita kama umesimama, that means inapokuwa kwenye low gear torgue yake ina nguvu kubwa kuliko zingine.