Unawaambia hayo maeneo wengine hta kibaha hawaijui wameshazoea taka za kichinani bus zuri linapita bara bara zetu zote ilimradi iwe rami tuu usilione hivyo ukadhani nyanya hayo ndio yanayotumika SA kwenda Zambia miaka nenda miaka rudi na linavuta tela la tani 14 milima ya chirundu na siyavongha Zimbabwe yanatembea vizuri tuu..
Ni kweli mkuu mtoa mada anauliza ubora wa basi wakati humo engine kama si Scania,Volvo,Man au Mercedes unauliza kutaka kujua ubora wa hizi mashine tena..,Unawaambia hayo maeneo wengine hta kibaha hawaijui wameshazoea taka za kichina
Kwa muonekano huo suala la biashara usiwe na hofu
ni bus zuri linapita bara bara zetu zote ilimradi iwe rami tuu usilione hivyo ukadhani nyanya hayo ndio yanayotumika SA kwenda Zambia miaka nenda miaka rudi na linavuta tela la tani 14 milima ya chirundu na siyavongha Zimbabwe yanatembea vizuri tuu..
sio kimeo hazina ufatiliaji na service yake ni gharama sana hizo mtu makini akiwa nazo zinakaa sana na zinatembea kuliko injini mbeleInjini Nyuma ni kimeo Kwa Barabara za tanzania
Thibitisha Kwa hapa Tanzania nani kadumu Nazo?new force alianza nazo akachemshasio kimeo hazina ufatiliaji na service yake ni gharama sana hizo mtu makini akiwa nazo zinakaa sana na zinatembea kuliko injini mbele
new force zile zake aliuza kabaki nayo moja ipo mpaka sasa nayo anaiuza,Tsk bado zipo moja ipo barabarani nyingine anaziuza kwa sababu ya urefu anasumbuliwa mizani kazipaki zile gari ni mita 14,sumry service ilimshinda spea za Hino zilikuwa zinaagizwa kutoka malaysia ndio maana saizi kazipaki watu wamemfata awauzie kagoma nenda moshi kuna lim zhongtong injini nyuma bado zinapiga kaziThibitisha Kwa hapa Tanzania nani kadumu Nazo?new force alianza nazo akachemsha