Scania/Volvo Marcopolo Paradiso 1800DD G7

Scania/Volvo Marcopolo Paradiso 1800DD G7

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
11,261
Reaction score
17,202
Vipi kwa biashara ya usafirishaji abiria kwa hapa Tanzania? Italipa?
IMG_20161021_154307.JPG
 
Kama zile mapanga sha zinalipa why not hii? Italipa mzee sema usizipeleke Ile route ya kanda ya titi wale jamaa wanasemekana ni washamba
 
ni bus zuri linapita bara bara zetu zote ilimradi iwe rami tuu usilione hivyo ukadhani nyanya hayo ndio yanayotumika SA kwenda Zambia miaka nenda miaka rudi na linavuta tela la tani 14 milima ya chirundu na siyavongha Zimbabwe yanatembea vizuri tuu..
 
Unawaambia hayo maeneo wengine hta kibaha hawaijui wameshazoea taka za kichina
 
Unawaambia hayo maeneo wengine hta kibaha hawaijui wameshazoea taka za kichina
Ni kweli mkuu mtoa mada anauliza ubora wa basi wakati humo engine kama si Scania,Volvo,Man au Mercedes unauliza kutaka kujua ubora wa hizi mashine tena..,
 
ni bus zuri linapita bara bara zetu zote ilimradi iwe rami tuu usilione hivyo ukadhani nyanya hayo ndio yanayotumika SA kwenda Zambia miaka nenda miaka rudi na linavuta tela la tani 14 milima ya chirundu na siyavongha Zimbabwe yanatembea vizuri tuu..

Kweli Mkuu.. Zambia.. Mozambique.. Zimbabwe zipo zinaoperate toka South Africa
 
hilo kulileta tz itabidi upewe kibali cha tanroads ili litumie barabara za tz alafu watataka hiyo axle ya kati kutoka tairi ya mbele itolewe maana hawaruhusu mabasi ya 6x3 wanaruhusu 4x2 na 6x2 bas na kwa huo urefu ujiandae kulipa faini kila likizidi mzani maana hapo kwa muonekano linazidi mita 12.5 ambazo wanataka wao tanroads hilo linachezea mita 13 au 13.5 na kwakuwa ni injini nyuma litakusumbua sana likipewa safari ndefu madreva wengi wa hapa kwetu huwa hawapo makini na ufatiliaji wa mifumo ya upozaji hasa katika magari yenye injini nyuma ndio maaana asilimia kubwa ya magari tunayotumia ni injini mbele
 
sio kimeo hazina ufatiliaji na service yake ni gharama sana hizo mtu makini akiwa nazo zinakaa sana na zinatembea kuliko injini mbele
Thibitisha Kwa hapa Tanzania nani kadumu Nazo?new force alianza nazo akachemsha
 
Thibitisha Kwa hapa Tanzania nani kadumu Nazo?new force alianza nazo akachemsha
new force zile zake aliuza kabaki nayo moja ipo mpaka sasa nayo anaiuza,Tsk bado zipo moja ipo barabarani nyingine anaziuza kwa sababu ya urefu anasumbuliwa mizani kazipaki zile gari ni mita 14,sumry service ilimshinda spea za Hino zilikuwa zinaagizwa kutoka malaysia ndio maana saizi kazipaki watu wamemfata awauzie kagoma nenda moshi kuna lim zhongtong injini nyuma bado zinapiga kazi
 
Back
Top Bottom