Scania/Volvo Marcopolo Paradiso 1800DD G7

hilo kulileta tz itabidi upewe kibali cha tanroads ili litumie barabara za tz alafu watataka hiyo axle ya kati kutoka tairi ya mbele itolewe maana hawaruhusu mabasi ya 6x3 wanaruhusu 4x2 na 6x2 bas na kwa huo urefu ujiandae kulipa faini kila likizidi mzani maana hapo kwa muonekano linazidi mita 12.5 ambazo wanataka wao tanroads hilo linachezea mita 13 au 13.5 na kwakuwa ni injini nyuma litakusumbua sana likipewa safari ndefu madreva wengi wa hapa kwetu huwa hawapo makini na ufatiliaji wa mifumo ya upozaji hasa katika magari yenye injini nyuma ndio maaana asilimia kubwa ya magari tunayotumia ni injini mbele
Inaonekana upo kwenye hii field, maana upo deep
 
Kiufupi mabasi ya aina hii huku ulaya yanatumika kwa safari fupi public transport, na kama itaingia safari ndefu zina speed limit kwa u safiri kama huo.
 
Lingefaaa likawa linaenda Dar Dodoma/Dar Tanga/dar Moshi
 
asee wewe hiyo pesa fanyia kaz ingine tu hapa kwa sasa kidogo hapaeleweki kuna sinto faham na fujo za hapa na pale
 
tmp-cam--867855732.jpg
 
tmp-cam-1116451899.jpg

Bujibuji Wazambia wanatumia hizo bus kwa safari za SA na Zambia hata ndani ya Nchi kwa safari za ndani wanatumia hizi hata kwenda vijijini kwao hilo bus linavuta tela linabeba mzigo tani 12 kuendelea kutoka Zambia na kurudi karibu 1500 Km..
 
Tanroads wanakatisha tamaa sana..masharti kibao..
 
Back
Top Bottom