ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kuanzia saa 5 asubuhi leo April 24, 2019 (kwa majira ya Afrika Mashariki), ndege John naweza kutoweka hewani kwa siku kadhaa
Nitakuwa nikionekana Mara chache mpaka siku saba zitakapotimia kwa sababu naona JF inazidi kufanya ubongo wangu uzidi ku corrupt
Lengo la kupotea kwa muda ni kujitathmini Kama akili zangu zitaongezeka au ndo zinazidi kupungua kila siku. sitaonekana nikichangia maada yoyote nitakuwa msomaji somaji tu kwa muda.haiwezekani niendelee kuunga mkono juhudi wakati Mimi mwenyewe Sina hela Mambo magumu maskini walewale nchi Bado iko chini kwa Kias kikubwa. Ni Bora nipumzike Tu kwa muda nimejivua Gamba kwa muda mpaka nitakapo jiridhisha kuwa kwenye hii system ya Magufuli hakuna tatizo mahali.maana wasiwasi katika moyo wangu unazidi kutanda.sielewi kabisa
NB: Si lazima kutoweka hewani; taarifa hii inalenga kutoa tahadhari ili ikitokea (kwa bahati mbaya) hamjaniona Tena nikiishi na hii ID Basi mjue kila kitu nimeamua kuji restart akili nione Mambo kwa jicho la tatu.Ndugu zangu wa lumumba kwa herini kidogo sipo nanyi mpaka nitakapojua hatima ya maelezo ya CAG assad yamefanyiwaje kazi na serikali nitafurahi kusikia na upande wa pili wa system wanasemaje.tofauti na hapo nitakuwa nimeamua kujiongezea tu ujinga kichwani naweza kuwa nipo hapa kazi tu alafu kumbe system ilisha corrupt siku nyingi.so nimeamua kusimama na CAG.pia wale ndugu zangu wa chaputa uzuri nyie nilishawaacha siku nyingi sana mwenzenu nishaokolewa Kama nitarudi na ID hii hii basi jueni kila kitu kichwani kimekuwa upya.nataka nirudishe ule u genius wangu niliokuwa nao kwa Sasa Mimi nitakuwa Ni Moja Kati ya ma genius.
nawashukuru kwa uelewa na ushirikiano