Schedule ndege JOHN'S head maintenance

Schedule ndege JOHN'S head maintenance

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kuanzia saa 5 asubuhi leo April 24, 2019 (kwa majira ya Afrika Mashariki), ndege John naweza kutoweka hewani kwa siku kadhaa

Nitakuwa nikionekana Mara chache mpaka siku saba zitakapotimia kwa sababu naona JF inazidi kufanya ubongo wangu uzidi ku corrupt

Lengo la kupotea kwa muda ni kujitathmini Kama akili zangu zitaongezeka au ndo zinazidi kupungua kila siku. sitaonekana nikichangia maada yoyote nitakuwa msomaji somaji tu kwa muda.haiwezekani niendelee kuunga mkono juhudi wakati Mimi mwenyewe Sina hela Mambo magumu maskini walewale nchi Bado iko chini kwa Kias kikubwa. Ni Bora nipumzike Tu kwa muda nimejivua Gamba kwa muda mpaka nitakapo jiridhisha kuwa kwenye hii system ya Magufuli hakuna tatizo mahali.maana wasiwasi katika moyo wangu unazidi kutanda.sielewi kabisa

NB: Si lazima kutoweka hewani; taarifa hii inalenga kutoa tahadhari ili ikitokea (kwa bahati mbaya) hamjaniona Tena nikiishi na hii ID Basi mjue kila kitu nimeamua kuji restart akili nione Mambo kwa jicho la tatu.Ndugu zangu wa lumumba kwa herini kidogo sipo nanyi mpaka nitakapojua hatima ya maelezo ya CAG assad yamefanyiwaje kazi na serikali nitafurahi kusikia na upande wa pili wa system wanasemaje.tofauti na hapo nitakuwa nimeamua kujiongezea tu ujinga kichwani naweza kuwa nipo hapa kazi tu alafu kumbe system ilisha corrupt siku nyingi.so nimeamua kusimama na CAG.pia wale ndugu zangu wa chaputa uzuri nyie nilishawaacha siku nyingi sana mwenzenu nishaokolewa Kama nitarudi na ID hii hii basi jueni kila kitu kichwani kimekuwa upya.nataka nirudishe ule u genius wangu niliokuwa nao kwa Sasa Mimi nitakuwa Ni Moja Kati ya ma genius.
nawashukuru kwa uelewa na ushirikiano
 
Hahaha sawa mkuu,wkt wa updates usisahau ku-install anti-virus kali kabisaa.
 
Ni vizuri mkuu...... Bora uwe mwanaharakati si mwanasiasa tunaitaji maendeleo kweli na si blahblah za kuwanufaisha wachache
 
Wewe mtoto huna tofauti na ndugu Deogratius Nalimi Kisandu
 
Fanya haya ndege ww acha kuchati kabisa
 
Kuanzia saa 5 asubuhi leo April 24, 2019 (kwa majira ya Afrika Mashariki), ndege John naweza kutoweka hewani kwa siku kadhaa

Nitakuwa nikionekana Mara chache mpaka siku saba zitakapotimia kwa sababu naona JF inazidi kufanya ubongo wangu uzidi ku corrupt

Lengo la kupotea kwa muda ni kujitathmini Kama akili zangu zitaongezeka au ndo zinazidi kupungua kila siku. sitaonekana nikichangia maada yoyote nitakuwa msomaji somaji tu kwa muda.haiwezekani niendelee kuunga mkono juhudi wakati Mimi mwenyewe Sina hela Mambo magumu maskini walewale nchi Bado iko chini kwa Kias kikubwa. Ni Bora nipumzike Tu kwa muda nimejivua Gamba kwa muda mpaka nitakapo jiridhisha kuwa kwenye hii system ya Magufuli hakuna tatizo mahali.maana wasiwasi katika moyo wangu unazidi kutanda.sielewi kabisa

NB: Si lazima kutoweka hewani; taarifa hii inalenga kutoa tahadhari ili ikitokea (kwa bahati mbaya) hamjaniona Tena nikiishi na hii ID Basi mjue kila kitu nimeamua kuji restart akili nione Mambo kwa jicho la tatu.Ndugu zangu wa lumumba kwa herini kidogo sipo nanyi mpaka nitakapojua hatima ya maelezo ya CAG assad yamefanyiwaje kazi na serikali nitafurahi kusikia na upande wa pili wa system wanasemaje.tofauti na hapo nitakuwa nimeamua kujiongezea tu ujinga kichwani naweza kuwa nipo hapa kazi tu alafu kumbe system ilisha corrupt siku nyingi.so nimeamua kusimama na CAG.pia wale ndugu zangu wa chaputa uzuri nyie nilishawaacha siku nyingi sana mwenzenu nishaokolewa Kama nitarudi na ID hii hii basi jueni kila kitu kichwani kimekuwa upya.nataka nirudishe ule u genius wangu niliokuwa nao kwa Sasa Mimi nitakuwa Ni Moja Kati ya ma genius.
nawashukuru kwa uelewa na ushirikiano
Mwana CCM NGULI, leo umenifurahisha.
Tukisema uchumi wetu umedorora, na tuna cook figures za kukua kwa uchumi muwe mnatuelewa. Asante kwa kujua ukweli kuwa buku saba ni ndogo sana kwa siku, wakuongezee kidogo, kazi unayoifanya hapa jamvini ni kubwa mno na haiendani thamani na hiyo buku saba
 
Back
Top Bottom