Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha haaaa !! Kumbe mwaka 1970 JF ilikuwapo !!??Admin
JF Admin
Join Date: Thu Jan 1970
Posts: 173
Thanks: 8
Thanked 67 Times in 24 Posts
Hapana, kipindi kile ilikuwa ni MAJOR maintenance ikiwa inaambatana na kuunganisha (sijui kama napatia kiswahili chake) servers mbili (ya zamani na mpya) ili kuongeza ufanisi zaidi.Maitanance mnafanya kila siku? Last time 24 hs sii mlikuwa mnafanya maintanence??
Mhhhh, haya bana!Invisible anaomboleza kilio cha Chelsea kumkosa Kaka na hati hati ya kumkosa Villa vile vile.