Scheduled system maintenance

Scheduled system maintenance

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
Hello members,

We will perform a 1-3hrs system maintenance tonight (around 2200 East African Times). This' a critical system maintenance and hopefully you'll be patient during this maintenance.

Regards,
 
Maitanance mnafanya kila siku? Last time 24 hs sii mlikuwa mnafanya maintanence??
 
Ahsante kwa taarifa. Ngoja tuangalie ustaarab mwingine nyakati hizo.

ZeMarcopolo, Sura-ya-Kwanza na Msanii natumaini watatuletea utunzi wao wa yaliyojiri kwa baadhi ya members wakati JF haiko hewani! Mara ya mwisho ZeMarcopolo alikuja na moja outstanding...Is he/she gonna outdo herself/himself or will be outdone by someone else... lets wait and see!
 
Admin
JF Admin
Join Date: Thu Jan 1970
Posts: 173
Thanks: 8
Thanked 67 Times in 24 Posts
Ha ha ha haaaa !! Kumbe mwaka 1970 JF ilikuwapo !!??
 
afadhali mmetujulisha mapema, nadhani magonjwa ya tumbo yatapungua
 
Invisible anaomboleza kilio cha Chelsea kumkosa Kaka na hati hati ya kumkosa Villa vile vile.
 
Maitanance mnafanya kila siku? Last time 24 hs sii mlikuwa mnafanya maintanence??
Hapana, kipindi kile ilikuwa ni MAJOR maintenance ikiwa inaambatana na kuunganisha (sijui kama napatia kiswahili chake) servers mbili (ya zamani na mpya) ili kuongeza ufanisi zaidi.

Invisible anaomboleza kilio cha Chelsea kumkosa Kaka na hati hati ya kumkosa Villa vile vile.
Mhhhh, haya bana!
 
Back
Top Bottom