Scholarship application

Mkuu kuna hizi za Erasmus Mundus,zimekaaje nazo?

Bahat mbaya @EMJMD huwa wanatoa master & Doctorial, afu vile vile wapo intergrated worldwide kuweka compitition kuwa kubwa, na huwa wanafund kwenye attractives project, partinership na joint program. kwa tz uwa kila mwaka pia znakuwepo nafas za kuomba hasahasa kwa kipengele cha attractivenes project..
 
nimefuatilia based on the way u write kwanza inabidi ufix some things... Afu umeshindwa hata kujua tofauti ya scholarship na sponsorship from ur reply kua umepata scholarship china lakini uko vibaya financially unauliza kama utapata sponsor!! scholarship means unalipiwa kitu flani, kama ni application tu ya chuo na kukubaliwa hiyo si kupata scholarship... Afu kama u r expecting kua ukiomba ukapata chuo then atatokea mtu nchi za watu mwenye hela akulipie forget about it.. hizo hua ziko kwenye movie mtu kupata zali la mentali...

Sasa here is what u need, Kwanza kama ni undergraduate unahitaji tokeo safi sana necta, na matokeo yako ya shule kwa ujumla na hapa naongelea straight As au uwe na B moja, kama ni postgraduate basi GPA kuanzia angalau 4 katika scale ya 5, ambao wana exception ya hii labda government workers wa muda mrefu hawa mara nyingi hupata government scholarships kama urafiki baina ya two countries.... naongea kama mtu ambaye nilipata full scholarship na nikalipiwa kila kitu kuanzia tiketi ya ndege hadi nguo nlizovaa... Another thing unachoenda kusomea, umejipanga vipi? Mfano kama ni mtu anaenda kusomea electronics engineering for example, umefanya chochote kama kuongoza club shuleni, kufungua ka workshop kanakohusiana na hiyo major, au kazi part time kampuni inayohusiana na the same thing?? Wana-condider sana things like that.. Inabidi uwe na profile ya kueleweka..

Asikudanganye mtu kua zinazopita wizarani wanapeana ndugu au hadi hela, ina maana hao wizarani ndo wana ndugu kila mwaka wenye matokeo mazuri.. nonsense, sikua na ndugu yoyote anayesimamia wakati nafanya application. The guys are fair, ka umejipnga vzr u cnt miss... ila usidhani kupata CCC ni kujipanga vzr.... C inaheshima bongo tu, nchi za watu hata B inaonekana ovyo
 
Link ya hizo scholarship ili kupata more details

zipo nying sema anza na iz kwa kutaftia maujanja... http://www.scholarshubafrica.com/SHA/scholarships/ http://www.jica.go.jp/english/countries/africa/internship.html http://feature.cucas.edu.cn/why_cucas/reasons/detail?id=20
 
Dreson4, unamwogopesha kijana na sijaona verse iliyomsaidia katika ngonjera yako, zaid ya kujisifia, msaidie afanye nini atimize ndoto zake kama wewe ulivoenda kaka.. .... afu hapo kwenye GPA apk zote zinazopitia wizaran ni 3.5 and above sema itategemeana na ufaulu wenu mnaoshndana kwa mwaka huska afu vilevile na chuo, uwez linganisha makerere na havard university ukasema consideration zkawa sawa.. naongea ivo kwa evidence mwaka jana pacha wangu kapata nafas yupo (WSU) WAshngton state university kwa 3.5gpa ba in economics..... scholarship zipo msiogope ili mrad utimize mashart yao 2..
 
Last edited by a moderator:

Simwogopeshi nampa reality kua competition ipo, kuna watu unakuta wana low second mfano afu wanajihisi wamepiga sana wakikosa nafasi unaanza kusikia wanapondea ati imechakachuliwa, mara una ndugu wizarani huku kiukweli unakuta there was someone better... Sidhani ka amekuja hapa sababu anataka vyuo vya ovyo ilimradi tu chuo! ni ka mtu ambaye atose UDSM aende kusoma kachuo ka ovyo eneo ka mozambique anakua hajielewi sababu tu wanakubali kumpa scholarship kwa gpa ndogo...
Ye angejipima kutokana na nlichoandika na kama anahisi sifa zote anazo angejibu ndio anazo ili tujue pa kuanza kumuelekeza wapi...
 

Duh! mkuu hapo sasa umeongea ukwel utafkir umeniona, binafsi nilitosa udsm nikaenda kenya, najutia mpaka leo. na hilo ndo jambo la msing kuangalia nakuwa makin sana na Ws yani WHAT, WHERE & WHEN. Cause sikupata nlichotaka nikaishia kusomea vitu ambavyo sikupenda kurud ikawa toolate!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…