Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Jaribu Quota scheme ya Norway huwa hawana janjajanja hawa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuna hizi za Erasmus Mundus,zimekaaje nazo?
Link ya hizo scholarship ili kupata more details
Dreson4, unamwogopesha kijana na sijaona verse iliyomsaidia katika ngonjera yako, zaid ya kujisifia, msaidie afanye nini atimize ndoto zake kama wewe ulivoenda kaka.. .... afu hapo kwenye GPA apk zote zinazopitia wizaran ni 3.5 and above sema itategemeana na ufaulu wenu mnaoshndana kwa mwaka huska afu vilevile na chuo, uwez linganisha makerere na havard university ukasema consideration zkawa sawa.. naongea ivo kwa evidence mwaka jana pacha wangu kapata nafas yupo (WSU) WAshngton state university kwa 3.5gpa ba in economics..... scholarship zipo msiogope ili mrad utimize mashart yao 2..
Simwogopeshi nampa reality kua competition ipo, kuna watu unakuta wana low second mfano afu wanajihisi wamepiga sana wakikosa nafasi unaanza kusikia wanapondea ati imechakachuliwa, mara una ndugu wizarani huku kiukweli unakuta there was someone better... Sidhani ka amekuja hapa sababu anataka vyuo vya ovyo ilimradi tu chuo! ni ka mtu ambaye atose UDSM aende kusoma kachuo ka ovyo eneo ka mozambique anakua hajielewi sababu tu wanakubali kumpa scholarship kwa gpa ndogo...
Ye angejipima kutokana na nlichoandika na kama anahisi sifa zote anazo angejibu ndio anazo ili tujue pa kuanza kumuelekeza wapi...