Scholarship application

Scholarship application

Joined
Oct 22, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Habari wakuu,

Jaman kwa yeyote anaejua zaidi kuhusu maswala kusomea nje ya nchi ningeomba tuelimishane.
 
Umenifurahisha mkuu, kwa iyo unataka ukasome nje ya nchi uwe man from abroad...,
ok hi yawezekena ila ujawa specific wataka nchi gan kwenda mana HATA MALAWI, BURUND, UGANGDA, KENYA NI NJE YA NCHI.. chakuzingatia tafuta kwanza nchi zinazo toa scholarship kwa watanzania africa, ulaya, asia , australia, na america.. na hi itategemeana na masomo yako whether science or arts.. nchi kama canada, norway, @sweden and australia kdogo hiz ubaguz ni mdogo ukipata uko ni vzur zaid, nchi kama uingereza myaka hi wanabana sana kwenda uko.... sema kingne scholarship ni nying sana kuna za SADC iz uja kila mwaka kwa nchi usika Kama mwaka fulan walichukua wanafunz 88 tu sasa jiulize nch za sadc zipo ngap tanzania wakatoka only 7 .kawaida utaratibu wake ni mgumu kwa mtoto wa maskin kuafford ndo mana viongoz wetu wanatumia nafas izo kuwapeleka watoto wao nje weng twakutana nao ulaya wasoma.. ila kama upo dar hapo jarbu kwenda ofs zao za mwakilish wa sadc pengne yaweza kua baati yako... USHAURI: utakutana na advertisement nying za scholarshp sio zote za ukwel wengne ni matapel washajua waafrika tunashoboka sana kwenda kwao ivyo wanatumia mwanya huo huo.... ninaposema utapel sio upande wa pesa tu hata uhai wako, au ukafka kule ukawa [NANY] wa familia, au kukuchomoa fgo, chamsing nikuwa makini tu.. ILA KAMA UNASALI SCHOLARSHIP NYING ZA DIN NDO NZURI NA UHAKIKA..... good luC
 
Last edited by a moderator:
daaa! sasa vp kuhusu hzo znazotangazwa wizara ya elim?
 
daaa! sasa vp kuhusu hzo znazotangazwa wizara ya elim?

Izo ni hatar kwa afya ya mfuko wako!!!! mishe yoyote inayopitia kwa mikono ya watz ni shda tupu mda mwing utaupoteza uko, kwanza iz znazopitia wizara ya elimu mashart ni meng mfano fresh from school uwe katika top ten ya kitaifa i mean passyako iwe kubwa, undergraduate 3.5gpa and above wakajua ni rahc kupata, wakasema kazin myaka miwil, wakajua utaweza vumilia wakasema unatakiwa utume barua wizaran ili ikaguliwe then kama unafaa uitwe! nzur Kuna hi Chevening Scholarship ambayo inatolewa pia na Uingereza na kuongozwa/kusimamiwa na British Council ya nchi husika. lakin ukitaka TAMOSE na etc lazima uliwe sana..
 
na ungewai mapema kuna hawa jumuiya ya madola application zinafungwa tar 3.12.2014
 
Vp kuhusu chinese!!!!

Zimetofautiana zipo kama ifuatavyo: government scholarship, China local government scholarship, Confucius scholarship, University scholarship, enterprises scholarship and foreign government scholarship. kwa izi za government zina mashart kama 1) Applicants must be non-Chinese nationals in good health.
2) Education qualifications and age limits:
a. Applicants for Undergraduate studies must have completed high schools with good grades, and be under the age of 25.
b. Applicants for Master's degree studies must be Bachelor's degree holders, and be under the age of 35.
c. Applicants for Doctoral degree studies must be Master's degree holders, and be under the age of 40.
d. Chinese language students must have finished high schools and be under the age of 35.
e. Visiting scholar candidates must have completed at least two years of undergraduate studies, and be under the age of 45.
f. Senior visiting scholar candidates must have a Masters degree or above, or hold academic titles of Associate Professor or above, and be under the age of 50. NA HAPO KAA UKIJUA LANGUAGE FOR INSTRUCTION FOR HIGHER EDUCATION IS CHINESE... Ingawa kuna some institution english ipo.
 
Ok tnks m nmepat scholership to china bt am not good financially so is possible kupata sponser!!!!
 
Link ya hizo scholarship ili kupata more details
 
Hivi kuna alternatives gani kama hauna cheti cha English prof?

Ascreenshot of your online score report or test scores is acceptable at the point of applying, if you do not have a hard copy of your certificate..
 
Ascreenshot of your online score report or test scores is acceptable at the point of applying, if you do not have a hard copy of your certificate..

Mkuu kuna hizi za Erasmus Mundus,zimekaaje nazo hizi?
 
Ascreenshot of your online score report or test scores is acceptable at the point of applying, if you do not have a hard copy of your certificate..

Mkuu kuna hizi za Erasmus Mundus,zimekaaje nazo?
 
Daah cjui bas nime apply nafac na nimekubaliwa bt am poorly financially

Unapo apply nje lazima ujue utaomba wapi sponsorship au scholarship. Bahati mbaya sponsorship za nje zisizo na magumashi huwa zina criteria ngumu, mojawapo ndogo tu ni kwa wewe kuwa mwanafunzi bora...
 
Scholarship application ni kuzitafuta na kuangalia kama una qualify au la then unaaply bila kulaza damu.

Ila zingatia unapoapply lazima uwe na vigezo stahiki vinginevyo jamaa huwa wako strictly saana wakiona huna vigezo na umeomba hawajisumbua kujadili moja kwa moja wanatupa kapuni nakuendelea kuchambua wale qualified!

Timiza masharti yao then apply kusoma watakuconsider bila shida.
 
Back
Top Bottom