M msamwelmollel Member Joined May 20, 2012 Posts 16 Reaction score 1 Apr 7, 2014 #1 Juma kama moja limepita tangu Mh Rais kupewa schoralship kwa wanafunzi wa Tanzania kwenda kusoma fani zinazohusu mafuta katika chuo cha Aberdeen Scotland .swali langu je ni nani mwenye tetesi ya wapi naweza pata izo scholarship au maelezo zaidi.
Juma kama moja limepita tangu Mh Rais kupewa schoralship kwa wanafunzi wa Tanzania kwenda kusoma fani zinazohusu mafuta katika chuo cha Aberdeen Scotland .swali langu je ni nani mwenye tetesi ya wapi naweza pata izo scholarship au maelezo zaidi.
S Smartbeing JF-Expert Member Joined Apr 7, 2014 Posts 323 Reaction score 425 Apr 7, 2014 #2 Mh Rais (hope unamaanisha JK) AMEPEWA au ametoa scholarship? Fafanua kidogo taarifa yako kulingana na source yako
Mh Rais (hope unamaanisha JK) AMEPEWA au ametoa scholarship? Fafanua kidogo taarifa yako kulingana na source yako
M msamwelmollel Member Joined May 20, 2012 Posts 16 Reaction score 1 Apr 7, 2014 Thread starter #3 Yeah smartbeing namaanisha kikwete niliona kwenye taarifa ya habari ya TBC sema iyo mada walieleza kwa kifupi ndio maana nauliza kwa anayejua
Yeah smartbeing namaanisha kikwete niliona kwenye taarifa ya habari ya TBC sema iyo mada walieleza kwa kifupi ndio maana nauliza kwa anayejua
Vitendo JF-Expert Member Joined Oct 23, 2009 Posts 582 Reaction score 103 Apr 7, 2014 #4 BG Scholarships - British Council in Tanzania