Scholarship za kikwete

Scholarship za kikwete

msamwelmollel

Member
Joined
May 20, 2012
Posts
16
Reaction score
1
Juma kama moja limepita tangu Mh Rais kupewa schoralship kwa wanafunzi wa Tanzania kwenda kusoma fani zinazohusu mafuta katika chuo cha Aberdeen Scotland .swali langu je ni nani mwenye tetesi ya wapi naweza pata izo scholarship au maelezo zaidi.
 
Mh Rais (hope unamaanisha JK) AMEPEWA au ametoa scholarship? Fafanua kidogo taarifa yako kulingana na source yako
 
Yeah smartbeing namaanisha kikwete niliona kwenye taarifa ya habari ya TBC sema iyo mada walieleza kwa kifupi ndio maana nauliza kwa anayejua
 
Back
Top Bottom