Scholarship za Masters mwaka 2014 australia!!

ok ,nimekupata mkuu ninahitaji ya Msc,sasa hivi hiyo IELTS na TOEFL naweza nikapata wapi au zinatolewa na ubalozi wa Australia.please kwa wazoefu wa haya mambo wanijulishe tafadhali.
 
ok ,nimekupata mkuu ninahitaji ya Msc,sasa hivi hiyo IELTS na TOEFL naweza nikapata wapi au zinatolewa na ubalozi wa Australia.please kwa wazoefu wa haya mambo wanijulishe tafadhali.

IELTS nenda pale british council,ndo wanaconduct,hiyo TOEFL sina uhakika but jaribu UDSM!
 
IELTS nenda pale british council,ndo wanaconduct,hiyo TOEFL sina uhakika but jaribu UDSM!

thanks mkuu,kwa Udsm nitacheki,ila na british council nitaenda nikiwa fresh.
 
thanks mkuu,kwa Udsm nitacheki,ila na british council nitaenda nikiwa fresh.
Me nimefanya ielts pale british council, wanahitaji laki3 na nusu , picha mbili za passport , na uwe na passport , ndo id inayotumika , nimefanya 1st september , nackilizia matokeo baada ya cku 13, afu wana tarehe maalumu , na kwa mwezi wanafanya mara moja so cku ukienda kulipia ukakuta zimejaa unasogezwa ya mwezi unaofata
 
ahsante mkuu hiyo IELTS inakuwa conducted kwa mfumo gani?

speaking, listening, reading na writting, huitaji tuition wala chochote, hy english yako inakutosha, sema kn training ya elf75 unaifanya cku moja tuu bt me ckuona haja ya kuifanya zaid ya kula tuu ela za watu, inshort kwa paper la speaking, unaekewa mzungu mnakuwa mnapiga stories huku wanakurecord, ni dakika 10-15 hivi, then wa listening inakuwa mnackiliza cd inaplay watu wanaongea, ss yale mazungumzo yao unayackiliza kwa makini huku hapo ushapewa karatac ya maswali ya multiple choice, matching items na true na false na fill the blanks, cd inaplay kwa nusu saa, huo mda ambao cd inastop na ww unatakiwa uwe ushamaliza kujaza majbu yako then unapewa dakika kumi za kuhamisha majibu yako kwny answer sheet, then huo wa reading unapewa paragraph nyng nyng then na maswali hapo hapo unayajibu ya short answer, true na false, na multiple choice, sema kikubwa ni tym management coz km hy ya reading unakuta paragraph ni nyng sn afu maswali 40 na dakika 40 so unaweza ukakuta mda umekuishia huku hujamaliza kusom paragraph afu ukiangalia unahic majibu yote ni true , na hy ya writting ni unapewa topic then unaandika like essay, swali la kwanza dkk20 na marks 20 afu la pili ni ddk40 na marks40, la kwanza inakuwa ni unapewa kitu like chart au graph uidescribe then la pili ndo topic, maswali kiujumla ni ya kawaida sn sema speed ndugu yng , yan unakuta unaandika haraka na bado mda hautoshi
 
ok ,nimekupata mkuu ninahitaji ya Msc,sasa hivi hiyo IELTS na TOEFL naweza nikapata wapi au zinatolewa na ubalozi wa Australia.please kwa wazoefu wa haya mambo wanijulishe tafadhali.

kama alivyosema mdau mwingine alivyosema IELTS unapata british council TOEFL kuna watu wanaitwa TANSAO wapo International School of Tanganyika wao wanahusika sana
 
Asante sana umetoa maelezo ya kutosheleza
 
duuh,umedadavua vizuri sana.ndo mana naipenda jf.thank mpaka hapo nimefanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…