speaking, listening, reading na writting, huitaji tuition wala chochote, hy english yako inakutosha, sema kn training ya elf75 unaifanya cku moja tuu bt me ckuona haja ya kuifanya zaid ya kula tuu ela za watu, inshort kwa paper la speaking, unaekewa mzungu mnakuwa mnapiga stories huku wanakurecord, ni dakika 10-15 hivi, then wa listening inakuwa mnackiliza cd inaplay watu wanaongea, ss yale mazungumzo yao unayackiliza kwa makini huku hapo ushapewa karatac ya maswali ya multiple choice, matching items na true na false na fill the blanks, cd inaplay kwa nusu saa, huo mda ambao cd inastop na ww unatakiwa uwe ushamaliza kujaza majbu yako then unapewa dakika kumi za kuhamisha majibu yako kwny answer sheet, then huo wa reading unapewa paragraph nyng nyng then na maswali hapo hapo unayajibu ya short answer, true na false, na multiple choice, sema kikubwa ni tym management coz km hy ya reading unakuta paragraph ni nyng sn afu maswali 40 na dakika 40 so unaweza ukakuta mda umekuishia huku hujamaliza kusom paragraph afu ukiangalia unahic majibu yote ni true , na hy ya writting ni unapewa topic then unaandika like essay, swali la kwanza dkk20 na marks 20 afu la pili ni ddk40 na marks40, la kwanza inakuwa ni unapewa kitu like chart au graph uidescribe then la pili ndo topic, maswali kiujumla ni ya kawaida sn sema speed ndugu yng , yan unakuta unaandika haraka na bado mda hautoshi