Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
-
- #21
Ukiwa na mawazo ya namna hii utaishia kutazama hiyo fursa. Wenzako wanaapply wenye qualification zao. Umeambiwa tuma CV hiyo ni email ya Prof. wa hicho chuo hapa hatujaja kucheza.Hawa na wale wazee wa iyo Pesa tuma kwa No hii ni kama chupi na tako
Safi sana mleta mada. Ngoja tujaribu. Ila IELTS, TOEFL na GRE ni kikwazo kikubwa sana kwenye kuomba scholarship za nje maana ad ya kuganya hizo test siyo pesa ndogo.
Fungua website ya Wizara ya Elimu, kama uko serious haukosiNataka kusoma china masters..gharama zenu za application zikoje?
Mimi nitachangia bei gan kwenye ada?
Ngoja niingie..nataka mwakan nikomaeFungua website ya Wizara ya Elimu, kama uko serious haukosi
Sisi tunakusaidia kufanya application kwa Tsh Elfu 50 tu.Nataka kusoma china masters..gharama zenu za application zikoje?
Mimi nitachangia bei gan kwenye ada?
Ni kweli kwa China hivyo vyeti sio lazima.Kuna vyuo havihitaji hizo test
Vipi mtu akikosa baada ya kumfanyia hayo maombi, hiyo pesa inarudi au kiendacho kwa mganga hakirudiSisi tunakusaidia kufanya application kwa Tsh Elfu 50 tu.
Scholarship za China ni full funded unalipiwa kila kitu isipokuwa nauli ya kwenda tu.
Gharama anayoilipia hapo sidhani kama ina utofauti kama mteja akijiombea mwenyewe. Mteja anachagua kuomba mwenyewe au kuja kwetu tumsaidie. Tuna uhakika akiamua kuomba mwenyewe nguvu atakayo itumia itakua sawasawa na gharama ya pesa anayoilipia tukiamua kumsaidia.Vipi mtu akikosa baada ya kumfanyia hayo maombi, hiyo pesa inarudi au kiendacho kwa mganga hakirudi
Kuapply huwa siyo kazi sana maana mifumo ipo wazi. Changamoto labda ni namna ya kuandika motivation letter, study plan kwa baadhi ya level, kupata recommendations, english language certificate/proof of english language.Gharama anayoilipia hapo sidhani kama ina utofauti kama mteja akijiombea mwenyewe. Mteja anachagua kuomba mwenyewe au kuja kwetu tumsaidie. Tuna uhakika akiamua kuomba mwenyewe nguvu atakayo itumia itakua sawasawa na gharama ya pesa anayoilipia tukiamua kumsaidia.
@Meneja Wa MakampuniKuapply huwa siyo kazi sana maana mifumo ipo wazi. Changamoto labda ni namna ya kuandika motivation letter, study plan kwa baadhi ya level, kupata recommendations, english language certificate/proof of english language.
Hapo kwa upande wenu ni kipi hasa mnasaidia?
Meneja Wa Makampuni@Meneja Wa Makampuni
Kuna baadhi ya kozi unalipiwa kila kitu mpaka na hiyo nauli unalipiwa kwa mfano uongozi wa elimuSisi tunakusaidia kufanya application kwa Tsh Elfu 50 tu.
Scholarship za China ni full funded unalipiwa kila kitu isipokuwa nauli ya kwenda tu.
1. Kujaza fomu za maombi ya scholarship na vyuo.Kuapply huwa siyo kazi sana maana mifumo ipo wazi. Changamoto labda ni namna ya kuandika motivation letter, study plan kwa baadhi ya level, kupata recommendations, english language certificate/proof of english language.
Hapo kwa upande wenu ni kipi hasa mnasaidia?