Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,130
- 3,599
Hapo kwenye kuandaa documents ndio pamoja na kumuandalia recommendations, kumuandika study plan na motivation letter?1. Kujaza fomu za maombi ya scholarship na vyuo.
2. Kuandaa documents zinazohitajika wakati wa maombi.
3. Kutoa ushauri juu ya maombi kwaujumla pamoja uandaaji wa documents zinatumika wakati wa maombi.