Mlatino Zeshalo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,130 Reaction score 3,599 Nov 29, 2023 #41 Meneja Wa Makampuni said: 1. Kujaza fomu za maombi ya scholarship na vyuo. 2. Kuandaa documents zinazohitajika wakati wa maombi. 3. Kutoa ushauri juu ya maombi kwaujumla pamoja uandaaji wa documents zinatumika wakati wa maombi. Click to expand... Hapo kwenye kuandaa documents ndio pamoja na kumuandalia recommendations, kumuandika study plan na motivation letter?
Meneja Wa Makampuni said: 1. Kujaza fomu za maombi ya scholarship na vyuo. 2. Kuandaa documents zinazohitajika wakati wa maombi. 3. Kutoa ushauri juu ya maombi kwaujumla pamoja uandaaji wa documents zinatumika wakati wa maombi. Click to expand... Hapo kwenye kuandaa documents ndio pamoja na kumuandalia recommendations, kumuandika study plan na motivation letter?
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,358 Reaction score 10,976 Nov 29, 2023 #42 Mtoa mada Una elimu kiwango gan?
mashuka collection JF-Expert Member Joined Apr 10, 2023 Posts 608 Reaction score 1,409 Nov 29, 2023 #43 Hakuna za Canada?
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Nov 30, 2023 Thread starter #44 Andrew123 said: Mtoa mada Una elimu kiwango gan? Click to expand... Samahani ndugu sijazoea kuweka mbele level ya elimu. Utanisamehe sitoweza kuitaja bali pokea hicho tulichoshare inatosha boss.
Andrew123 said: Mtoa mada Una elimu kiwango gan? Click to expand... Samahani ndugu sijazoea kuweka mbele level ya elimu. Utanisamehe sitoweza kuitaja bali pokea hicho tulichoshare inatosha boss.
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Nov 30, 2023 Thread starter #45 mashuka collection said: Hakuna za Canada? Click to expand... Ingia kwenye hizi link mkuu: 14: Canada scholarships www.educanada.ca www.scholarships.gc.ca
mashuka collection said: Hakuna za Canada? Click to expand... Ingia kwenye hizi link mkuu: 14: Canada scholarships www.educanada.ca www.scholarships.gc.ca
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,358 Reaction score 10,976 Nov 30, 2023 #46 Meneja Wa Makampuni said: Samahani ndugu sijazoea kuweka mbele level ya elimu. Utanisamehe sitoweza kuitaja bali pokea hicho tulichoshare inatosha boss. Click to expand... Kwa hiyo wewe unatafutia scholarship Ila elimu yako Siri? Au Ngumbaro mwenzetu?
Meneja Wa Makampuni said: Samahani ndugu sijazoea kuweka mbele level ya elimu. Utanisamehe sitoweza kuitaja bali pokea hicho tulichoshare inatosha boss. Click to expand... Kwa hiyo wewe unatafutia scholarship Ila elimu yako Siri? Au Ngumbaro mwenzetu?
denis fourplux JF-Expert Member Joined Aug 17, 2017 Posts 1,049 Reaction score 1,385 Jan 12, 2024 #47 Hello
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Jan 12, 2024 Thread starter #48 denis fourplux said: Hello Click to expand... Hello