MUME WANGU
Member
- Mar 25, 2009
- 24
- 0
Habari wana jamii,.
Niko hapa university of dar namalizia kozi yangu ya school of law, baada ya hapo ningependa kwenda kusoma masters nje ya nchi ili niweze kujifunza maisha,utamaduni na mazingira totauti na Tz, kama kuna mtu anayefahamu ni wapi ninaweza kupata scholarship ya masters tafadhari anifahamishe.
Asanteni
Mods mbona mnaruhusu offensive nicks?
alazimishwe kubadili huyu.
Kabla sijachangia chochote umeolewa?
Kwa nini?
Mods mbona mnaruhusu offensive nicks?
alazimishwe kubadili huyu.
Kuna scholarships ambazo hazisupport couples, sasa kama una mke ama mume unaweza jikuta unatengana na familia yako....ndo kiini cha kutaka kujua tuanzie hapo!
Hiyo inakuhusu nini sasa.
kabla ya kukupa link ungesema ni mwaka gani ambao ume-plan kwenda kusoma nje ya nchi??
Hiyo inakuhusu nini sasa.
Hiyo inakuhusu nini sasa.
Inamhusu kwa sababu anataka kukupatia msaada utakao kufaa, sasa kama wewe umeolewa na unaonekana unampenda mume wako hata kumtumia kama ID yako hapa akikupa mchongo wa scholarship ambazo hazitolewi kwa watu waliolewa si atakuwa amepoteza muda wake? Vipi umegombana na Mr nini mbona unakuwa mkali?