MUME WANGU
Member
- Mar 25, 2009
- 24
- 0
- Thread starter
-
- #21
hii hapa ambayo mie pia nimeapply kwa US$45 lakin napata shaka sijui ni SCAM!..Tushirikiane kutafuta uhakika,otherwise iko bomba.....Http://www.aeedot.com
Himawari asante sana.
Sasa wewe na yeye mnauhusiano gani?..
Jadili mada
I refrain from this discussion naona uko Obsessed ..... nakuachia kibao cha DDC Mlimani Park ..Mume Wangu Jerry
YouTube - DDC Mlimani Park Orchestra ~ Mume Wangu Jerry
Sasa wewe na yeye mnauhusiano gani?..
Jadili mada
Ustaarabu kitu cha bure ndugu yangu, kama hii thread inakutatiza nenda kwenye thread nyingine AU anzisha thread yako yenye mada unazotaka.
Hayo mambo yako hayasaidii chochote.
Hii mada itasaidia watu wengi humu ndani.
Ni hayo tuu.
Mama "MUME WANGU" Hakika watu kama Masanilo wakikosekana katika forum, patakuwa pachungu humu. Hatuwezi kuwa serious tuuu wakati wote, hata wanaozika hutaniana na kucheka...cheers mama !!.
Mama "MUME WANGU" relax, don't take issues so serious! This is Jamii forums. Katika jamii ni lazima ukutane na watu mbalimbali wenye tabia mbalimbali ili Jamii iweze kuwa balanced. Hakika watu kama Masanilo wakikosekana katika forum, patakuwa pachungu humu. Hatuwezi kuwa serious tuuu wakati wote, hata wanaozika hutaniana na kucheka...cheers mama !!.
Habari wana jamii,.
Niko hapa university of dar namalizia kozi yangu ya school of law, baada ya hapo ningependa kwenda kusoma masters nje ya nchi ili niweze kujifunza maisha,utamaduni na mazingira totauti na Tz, kama kuna mtu anayefahamu ni wapi ninaweza kupata scholarship ya masters tafadhari anifahamishe.
Asanteni
Mama "MUME WANGU" relax, don't take issues so serious! This is Jamii forums. Katika jamii ni lazima ukutane na watu mbalimbali wenye tabia mbalimbali ili Jamii iweze kuwa balanced. Hakika watu kama Masanilo wakikosekana katika forum, patakuwa pachungu humu. Hatuwezi kuwa serious tuuu wakati wote, hata wanaozika hutaniana na kucheka...cheers mama !!.
changia mada kama huna cha kuchangia kaa kimya...Mama "mume wangu".... Hii ndio jamii forums....ukijua huu na wenzako wanajua ule...
kwani wewe wakiukeni au wa kike...changia mada acha vigeregere..Oooh yeah well said Ngorunde