scholarship

scholarship

Sasa wewe na yeye mnauhusiano gani?..

Jadili mada

I refrain from this discussion naona uko Obsessed ..... nakuachia kibao cha DDC Mlimani Park ..Mume Wangu Jerry

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=ZyeMisKRpdE"]YouTube - DDC Mlimani Park Orchestra ~ Mume Wangu Jerry[/ame]
 
I refrain from this discussion naona uko Obsessed ..... nakuachia kibao cha DDC Mlimani Park ..Mume Wangu Jerry

YouTube - DDC Mlimani Park Orchestra ~ Mume Wangu Jerry

Ustaarabu kitu cha bure ndugu yangu, kama hii thread inakutatiza nenda kwenye thread nyingine AU anzisha thread yako yenye mada unazotaka.

Hayo mambo yako hayasaidii chochote.

Hii mada itasaidia watu wengi humu ndani.

Ni hayo tuu.
 
Hebu tupatie pss mark zako ili tukusaidie unless unaleta utani hapa. na je unapenda kuendelea na same field?
 
Tatizo ni kwamba kwa ajili ya masomo kuanza mwaka huu deadline nyingi zimepita.
Jambo jingine ni kwamba mtu unataka kusoma nchi gani na ktk chuo gani? Kwasababu, hamna kitu kama kuapply for a random scholarship. Scholarship za uhakika zinatolewa na vyuo, na kama una qualifications wao watakupa ukiomba. Hizi website nyingine wanao dai malipo kwanza ili kukusaidia kupata scholarship I think ni SCAM.
 
Ustaarabu kitu cha bure ndugu yangu, kama hii thread inakutatiza nenda kwenye thread nyingine AU anzisha thread yako yenye mada unazotaka.

Hayo mambo yako hayasaidii chochote.

Hii mada itasaidia watu wengi humu ndani.

Ni hayo tuu.

Mama "MUME WANGU" relax, don't take issues so serious! This is Jamii forums. Katika jamii ni lazima ukutane na watu mbalimbali wenye tabia mbalimbali ili Jamii iweze kuwa balanced. Hakika watu kama Masanilo wakikosekana katika forum, patakuwa pachungu humu. Hatuwezi kuwa serious tuuu wakati wote, hata wanaozika hutaniana na kucheka...cheers mama !!.
 
Mama "MUME WANGU" Hakika watu kama Masanilo wakikosekana katika forum, patakuwa pachungu humu. Hatuwezi kuwa serious tuuu wakati wote, hata wanaozika hutaniana na kucheka...cheers mama !!.

Oooh yeah well said Ngorunde
 
Mtaka cha uvunguni sharti ainame!Hata mimi nashindwa nianzie wapi kwasababu hayo maswali mawili kutoka kwa wachangiaji ni ya msingi.Vinginevyo uleta utani tu hapa ndani(hakuna msomaji).
 
Mama "MUME WANGU" relax, don't take issues so serious! This is Jamii forums. Katika jamii ni lazima ukutane na watu mbalimbali wenye tabia mbalimbali ili Jamii iweze kuwa balanced. Hakika watu kama Masanilo wakikosekana katika forum, patakuwa pachungu humu. Hatuwezi kuwa serious tuuu wakati wote, hata wanaozika hutaniana na kucheka...cheers mama !!.

Alitakiwa awe mpole tu, ndio mambo ya kijamii hayo!!!
 
Habari wana jamii,.

Niko hapa university of dar namalizia kozi yangu ya school of law, baada ya hapo ningependa kwenda kusoma masters nje ya nchi ili niweze kujifunza maisha,utamaduni na mazingira totauti na Tz, kama kuna mtu anayefahamu ni wapi ninaweza kupata scholarship ya masters tafadhari anifahamishe.

Asanteni

Hili jina ni mtihani kulianza, Mama/dada/bibi umesema unataka nje ya nchi ili uweze kupata kujifunza maisha, utamaduni na mazingira. Jee ni nchi yoyote nje ya TZ?.

Angalia hii web Chevening Scholarships and Fellowships kwa deadline na address yao tanzania angalia hapa Tanzania | Chevening.com
 
Mama "MUME WANGU" relax, don't take issues so serious! This is Jamii forums. Katika jamii ni lazima ukutane na watu mbalimbali wenye tabia mbalimbali ili Jamii iweze kuwa balanced. Hakika watu kama Masanilo wakikosekana katika forum, patakuwa pachungu humu. Hatuwezi kuwa serious tuuu wakati wote, hata wanaozika hutaniana na kucheka...cheers mama !!.

Mama "mume wangu".... Hii ndio jamii forums....ukijua huu na wenzako wanajua ule...
 
Mama "MUME WANGU" relax, don't take issues so serious! This is Jamii forums. Katika jamii ni lazima ukutane na watu mbalimbali wenye tabia mbalimbali ili Jamii iweze kuwa balanced. Hakika watu kama Masanilo wakikosekana katika forum, patakuwa pachungu humu. Hatuwezi kuwa serious tuuu wakati wote, hata wanaozika hutaniana na kucheka...cheers mama !!.

Hujui.....kaa kimya acha wenye michango wachangie......Ngorude...wa kike au wa kikeni
 
Back
Top Bottom