Scholarship

Scholarship

Mlonda

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
35
Reaction score
2
Natafuta jinsi gani nitapata scholarship ya kumalizia masomo yangu, nimebakiwa na semester 3 tu ili kumaliza course ila sasa naona nitakwama sababu najilipia mwenyewe. Naomba mwenye kujua wapi naweza kupata msaada huo anitumie mawasiliano yao au yake. Hata kwa makubaliano baada ya hapo niwafanyie au nimfanyie kazi, sababu nina professional tayari na nimeshawahi kufanya kazi katika research kwa miaka 7, medical laboratory technology ndio professional yangu.
 
Back
Top Bottom