Scholarship

Scholarship

That's selfish folk, kama una dondoo muhimu weka hadharani watu wanufaike.

Tafadhali!!
 
Huu ni ubinafsi wa hali ya juu kabisa...Kama unajua jinsi ya kupata hizo scholarship weka hapa kilamtu azipitie....Ndio maana watu huwa mnakosa baraka kwa Mungu kwasababu ya ubinafsi..
 
mkuu Austin20, umetoka kwenye udalali wa magari ya kukopesha kwa bila hata kutoa taarifa sahihi juu ya hayo magari umekuja kwenye udalali wa scholarship, dah!
kama unahitaji nafasi ya scholarship PM me please
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom