Huu ni ubinafsi wa hali ya juu kabisa...Kama unajua jinsi ya kupata hizo scholarship weka hapa kilamtu azipitie....Ndio maana watu huwa mnakosa baraka kwa Mungu kwasababu ya ubinafsi..
mkuu Austin20, umetoka kwenye udalali wa magari ya kukopesha kwa bila hata kutoa taarifa sahihi juu ya hayo magari umekuja kwenye udalali wa scholarship, dah!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.