School bus "Kutoka Kitandani hadi Madarasaniā€

School bus "Kutoka Kitandani hadi Madarasaniā€

Umeangalia hasi chache bila kutazama chanya nyingi...... Mbona walokole wanakesha na makelele tukiamka wankuja kusinzia kazini lakini hujasema......??? WIVU NA UMASIKINI.
Ushindwe hapo ulipo, walokole hawapigi makelele. Mapepo Yana kufanya uone maombi ni kelele.
 
Kama mzazi au mlezi, mara nyingi unakutana na changamoto za kuamka mapema asubuhi ili kuwahi kuleta watoto shuleni kwa kutumia magari ya shule. Lakini, je, umewahi kujiuliza jinsi hali hii inavyowaathiri watoto wako kwa muda mrefu?

Kwa wengi wetu, usafiri wa magari ya shule ni suluhisho la haraka na la kisasa kwa watoto wanaohitaji kuwahi shule kwa wakati. Lakini, je, watoto wanapata nini kutoka kwa safari hii? Je, wanapata usingizi wa kutosha kabla ya kuanza siku zao?

Binafsi naona tunaandaa makondakta wa baadae kwa ujuzi na na nidhamu kali
hahaha umetisha kondakta wenye ujuzi na nidhamu kali
 
Back
Top Bottom