School dropouts: Nini kilikufanya ukaacha shule au chuo

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,192
Reaction score
5,685
Kuna changamoto zinatokea kwenye maisha na baadhi zinaweza kutatuliwa na mamlaka husika. Mojawapo ya swala lenye changamoto sana ni swala la elimu ya shuleni na vyuoni. Natumaini wahusika (wazazi na serikali)wanaweza kupitia huku na kusaidia kutatua changamoto hizo.

JE KAMA WEWE ULIACHA SHULE AU CHUO, NI NINI KILISABABISHA UFIKIE MAAMUZI HAYO? NA JE KWA SASA UNAJUTIA AMA UNAONA ULIFANYA UAMUZI SAHIHI?
 
Me kilichofanya niache shule au nisifanye vzuri ni pale nilipohisiwa kuwa ni usalama wa Taifa na kupelekea hata mkondo niliokuwa walimu kuususia na mimi wakawa wananichukia,

Kiukweli nikawa naona kabisa wananitengenezea viji7bu vya kunifukuza nikaona isiwe tabu bakini na shule yenu kama sikupangiwa kusoma basi yote maisha tuu.
 
Daaaah si ungeenda shule nyingine mkuu
 
Niliacha kwasababu ilitokea nafasi bora zaidi ya chuo
Lakn ninampango wa kurudi kujiendeleza
 
Niliacha chuo Kwa sababu ya umasikini ,.ila Nipo kwenye process za kuanza upya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…