School of law ya chuo kikuu gani? Vitivo vya Sheria sasa vyaitwa School of law vyuoni.Kama ulimaanisha Law School of Tanzania(na si School of law) basi ada tu ni 1570000 pesa za kitanzania. Gharama nyingine ni juu yako...