school of law

school of law

EJay

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
693
Reaction score
172
Gharama za mwaka wa school of law ni sh.ngapi?
 
School of law ya chuo kikuu gani? Vitivo vya Sheria sasa vyaitwa School of law vyuoni.Kama ulimaanisha Law School of Tanzania(na si School of law) basi ada tu ni 1570000 pesa za kitanzania. Gharama nyingine ni juu yako...
 
asante mkuu,kwa kunifahamisha kwa hilo!
 
kama wauliza school of law ya UDSM ni vyema ukaingia mtandaoni na ku-download prospector yao ipo itakusaidia kwa taarifa nyingine pia
 
Back
Top Bottom