Schoolorship za mozambique

Schoolorship za mozambique

ciza

Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Naomba maelezo au ufafanuzi kwa anayefahamu kuhusu zile schoolorship zilizotolewa kwa niaba ya serikali ya mozambique, kama ukichaguliwa utaratibu wake unakuwaje? Msaada kwa yeyote anayefahamu please!
 
kuhusu utaratibu fuatilia taarifa rasmi za wizara ila ujue lazma ukasome ki portugese mwaka mmoja
 
Naomba maelezo au ufafanuzi kwa anayefahamu kuhusu zile schoolorship zilizotolewa kwa niaba ya serikali ya mozambique, kama ukichaguliwa utaratibu wake unakuwaje? Msaada kwa yeyote anayefahamu please!

Mozambique c bora ubaki upgane na kawambwa tu????????
 
Back
Top Bottom