Globu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 8,659
- 2,227
Wachafu.Umeamua kuoa kabisa. Mademu wa german wana sifa gani moja wapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachafu.Umeamua kuoa kabisa. Mademu wa german wana sifa gani moja wapo?
Alles gut.Sentensi yako ya kwanza nakubali kabisa.
Sasa nakupa darsa bure (sitaki pesa). Silabi "-le" kwenye mwisho wa neno ni kile wanachoita "unbetonte Endsilbe". Unakubali,je? Isipikuwa lahaja chache za kusini ni kamwe "la". Kwa "Schule" kamwe, ninavojua.
Ukipenda kusikiliza matamshi, usiende google (kwao hujui kama ni sauti ya mtu au ya kompyuta),
jaribu hii:https://forvo.com/word/schule/
(Wajerumani wanne wanatamka neno "Schule")
Kuhusu "r" kuna tofauti sana kieneo. Watu wa kusini kama Bavaria na hao wa kaskazini sana wana "r ya ulimi mbele", kama Wahispania, au pia kama Wakenya wengi. Matamshi sanifu ni "r ya shingoni" inayofana na "gh" yetu katika "magharibi", "ghorub" (kama herufi a Kiarabu غ). Sehemu za magharibi kuna pia "r" kama Waeire au Marekani.
Unakuwa kama Kiranga.Hivi ukilowea sehemu inakuwaje?
Unakaa unapigwa mvua nyingi za misimu ya mvua huko mpaka unalowa au vipi?
🙂
Kiranga is a singularity.Unakuwa kama Kiranga.
Mambo