Mungu yupi, Allah ama Yahweh ama miungu wengine zaidi ya hao?Salaam wakuu,
Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.
Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu).
Kwa mtiririko huo, nahitimisha kwa kusema, science inasupport uwepo wa Mungu kwa 100%.
Mkuu, tayari maelezo yanajitosheleza.Tayari umeshathibitisha uwepo wa Mungu au tusubiri sehemu ya pili?
Kwamba hayo maelezo yako yameshathibitisha uwepo wa Mungu?Mkuu, tayari maelezo yanajitosheleza.
Mungu ni mmoja, japo huitwa ktk majina tofauti.Mungu yupi, Allah ama Yahweh ama miungu wengine zaidi ya hao?
Yes, Mungu ni chanzo cha kila kitu, kupitia maandiko na science vyote vinamuelezea kwa maelezo sawa.Kwamba hayo maelezo yako yameshathibitisha uwepo wa Mungu?
Kwanza kabisa, sayansi haisemi kila kitu kimeundwa na atom.Salaam wakuu,
Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.
Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu).
Kwa mtiririko huo, nahitimisha kwa kusema, science inasupport uwepo wa Mungu kwa 100%.
Subiri kwanza nikojoe nakujaTayari umeshathibitisha uwepo wa Mungu au tusubiri sehemu ya pili?🤔🤔🤔🤔
Atom ndio nani? Mkojo umenipanaKwanza kabisa, sayansi haisemi kila kitu kimeundwa na atom.
Mpaka hapo ushachemsha.
Si kweli, atheist wanakanusha uwepo wa Mungu ajili ya contradiction za maandiko.I think that "all thinking people are atheists " belief is the death of intelligence. Please! Understand in order to believe.
Kakojoe ukalale.Atom ndio nani? Mkojo umenipana
Kila kitu kimeundwa na atom vipi kuhusu ENERGY ' NA VACUUM?Yes, Mungu ni chanzo cha kila kitu, kupitia maandiko na science vyote vinamuelezea kwa maelezo sawa.
nambie kitu gani hakiundwi na atom?Kwanza kabisa, sayansi haisemi kila kitu kimeundwa na atom.
Mpaka hapo ushachemsha.
Wewe mwenyewe umetaja science inasema proton, neutron na electron ndizo zinazounda atom, halafu hapo hapo unasema science inasema kila kitu kinaundwa na atom kweli?nambie kitu gani hakiundwi na atom?
Utakojoa ulaleKakojoe ukalale.
Haiwezi kuingia akilini Mungu awe mmoja halafu awe ana maagizo ya kihayawani vile kwa kia dini, sio kweli.Mungu ni mmoja, japo huitwa ktk majina tofauti.