Science ina support uwepo wa Mungu

Science ina support uwepo wa Mungu

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
Salaam wakuu,

Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.

Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu).

Kwa mtiririko huo, nahitimisha kwa kusema, science inasupport uwepo wa Mungu kwa 100%.
 
Mungu yupi, Allah ama Yahweh ama miungu wengine zaidi ya hao?
 
Salaam wakuu,

Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.

Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu).

Kwa mtiririko huo, nahitimisha kwa kusema, science inasupport uwepo wa Mungu kwa 100%.
Kwanza kabisa, sayansi haisemi kila kitu kimeundwa na atom.

Mpaka hapo ushachemsha.
 
Unachoshindwa kuelewa hapo ni kitu kidogo sana ...

Dini inaanza direct kwamba Mungu ndiye muumba wa kila kitu..

Science inataka kujua huyo Mungu alitokana na nini ?

Labda utusaidie leo, Hivi Mungu chanzo chake ni nini?
 
Back
Top Bottom