Mkuu kabla sijakujibu, energy ni nini? na vaccuum ni nini ili tuendelee.Kila kitu kimeundwa na atom vipi kuhusu ENERGY ' NA VACUUM?
Naheshimu maoni yako.Elimu yako ndogo sana..!
Mkuu, maarifa yote chanzo chake ni abstract ideas(mawazo ya kufikirika).Unachoshindwa kuelewa hapo ni kitu kidogo sana ...
Dini inaanza direct kwamba Mungu ndiye muumba wa kila kitu..
Science inataka kujua huyo Mungu alitokana na nini ?
Labda utusaidie leo, Hivi Mungu chanzo chake ni nini?
Mkuu, nilitaraji utaje kitu/maada ambayo haundwi na atom bt wewe unazungumzia tena muundo wa atom.Wewe mwenyewe umetaja science inasema proton, neutron na electron ndizo zinazounda atom, halafu hapo hapo unasema science inasema kila kitu kinaundwa na atom kweli?
Unaelewa hata unachoandika mwenyewe ni nini?
Makosa yaliyopo ktk maandiko yanatokana na waandishi na si Mungu.Haiwezi kuingia akilini Mungu awe mmoja halafu awe ana maagizo ya kihayawani vile kwa kia dini, sio kweli.
Mungu ni chanzo cha kila kitu/uhai."Vijana kama wewe mna mchango mdogo sana Kwa taifa"
Mungu ni nini au nani? Tuambie kwanza kabla hatujaendelea
Huu ni utumbo, nenda kachanganye na ndizi ule......Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu).
Sawa.Huu ni utumbo, nenda kachanganye na ndizi ule......
Kwa nini unataraji kitu ambacho hakina logical consistency?Mkuu, nilitaraji utaje kitu/maada ambayo haundwi na atom bt wewe unazungumzia tena muundo wa atom.
Uhalisia wa mambo yepi huo unaouzungumzia?Mkuu, maarifa yote chanzo chake ni abstract ideas(mawazo ya kufikirika).
Maarifa ya science na maandiko yote lengo lake ni kuuelezea uhalisia wa mambo.
Basi yale maandiko ni utapeli kama utapeli mwingine. Ni hadithi za sungura na fisiMakosa yaliyopo ktk maandiko yanatokana na waandishi na si Mungu.
Sub atomic particles zimetajwa kuonyesha mfanano wa muundo wa atom na Mungu.Kwa nini unataraji kitu ambacho hakina logical consistency?
Unataja subatomic particles, halafu unasema kila kitu kina atom, ina maana wewe mwenyeee huelewi subatomic oarti le ni nini unazitajataja tu.
Haya, time ina atom? Mwanga una atom?
You are shifting the goal.Sub atomic particles zimetajwa kuonyesha mfanano wa muundo wa atom na Mungu.
Time na mwanga havina atom coz sio maada.
Uhalisia wa mambo yote unayoyajua/usoyajua kuuhusu ulimwengu.Uhalisia wa mambo yepi huo unaouzungumzia?
Kua specific, Mimi siyafahamu hayo mambo ..
Kwa mtizamo wako upo sahihi.Basi yale maandiko ni utapeli kama utapeli mwingine. Ni hadithi za sungura na fisi
Unatumia maarifa ya nani kuthibitisha hilo?Uhalisia wa mambo yote unayoyajua/usoyajua kuuhusu ulimwengu.
Kila kitu sio maada bt kila kitu kinatokana na maada.You are shifting the goal.
Umeanza kusema hakuna kitu kisicho na atom.
Umeishia kukubali subatomic oarticles, time, mwanga hazina atom.
Unaelewa kuwa "kila kitu" si sawa na "kila maada"?
Inaonekana hujui unataka kusema nini.
"Kila kitu" ni nini na unajuaje unajua "kila kitu"?Kila kitu sio maada bt kila kitu kinatokana na maada.