Science ina support uwepo wa Mungu

Science ina support uwepo wa Mungu

Unachoshindwa kuelewa hapo ni kitu kidogo sana ...

Dini inaanza direct kwamba Mungu ndiye muumba wa kila kitu..

Science inataka kujua huyo Mungu alitokana na nini ?

Labda utusaidie leo, Hivi Mungu chanzo chake ni nini?
Mkuu, maarifa yote chanzo chake ni abstract ideas(mawazo ya kufikirika).

Maarifa ya science na maandiko yote lengo lake ni kuuelezea uhalisia wa mambo.
 
Wewe mwenyewe umetaja science inasema proton, neutron na electron ndizo zinazounda atom, halafu hapo hapo unasema science inasema kila kitu kinaundwa na atom kweli?

Unaelewa hata unachoandika mwenyewe ni nini?
Mkuu, nilitaraji utaje kitu/maada ambayo haundwi na atom bt wewe unazungumzia tena muundo wa atom.
 
Kwa nini unataraji kitu ambacho hakina logical consistency?

Unataja subatomic particles, halafu unasema kila kitu kina atom, ina maana wewe mwenyeee huelewi subatomic oarti le ni nini unazitajataja tu.

Haya, time ina atom? Mwanga una atom?
 
Mkuu, maarifa yote chanzo chake ni abstract ideas(mawazo ya kufikirika).

Maarifa ya science na maandiko yote lengo lake ni kuuelezea uhalisia wa mambo.
Uhalisia wa mambo yepi huo unaouzungumzia?

Kua specific, Mimi siyafahamu hayo mambo ..
 
Kwa nini unataraji kitu ambacho hakina logical consistency?

Unataja subatomic particles, halafu unasema kila kitu kina atom, ina maana wewe mwenyeee huelewi subatomic oarti le ni nini unazitajataja tu.

Haya, time ina atom? Mwanga una atom?
Sub atomic particles zimetajwa kuonyesha mfanano wa muundo wa atom na Mungu.

Time na mwanga havina atom coz sio maada.
 
You are shifting the goal.

Umeanza kusema hakuna kitu kisicho na atom.

Umeishia kukubali subatomic oarticles, time, mwanga hazina atom.

Unaelewa kuwa "kila kitu" si sawa na "kila maada"?

Inaonekana hujui unataka kusema nini.
 
Kila kitu sio maada bt kila kitu kinatokana na maada.
 
Back
Top Bottom