Science ina support uwepo wa Mungu

Sasa ukisema "kila kitu ni all things" si umerudia tu kusema kila kitu ni kila kitu?

Kama hujui kila kitu, unajuaje kila kitu kinatokana na maada?
Maana ya kila kitu(everything) ni vitu vyote(all things), kama unayo maana nyingine ilete turahisishe mambo.

Visivyo maada vyote, haviexist bila maada.
 
Maana ya kila kitu(everything) ni vitu vyote(all things), kama unayo maana nyingine ilete turahisishe mambo.

Visivyo maada vyote, haviexist bila maada.
Hujaeleza kila kitu ni nini, unarudia tu tautology.

Wewe unajuaje unachofikiri kila kitu ni kila kitu kweli na hakuna zaidi ambacho hukijui ambacho kiko tofauti na hicho unachofikiri ni kila kitu?
 
Nikikwambia mimi infropreneur ndio Mungu utakubali?

Utathibitisha vipi mimi ni Mungu, Au mimi sio Mungu ?

Tutahakikisha vipi na unathibitishaje hicho unacho kiita Mungu ni Mungu kweli na si kitu kingine chochote kile?
Ukinambia wewe mungu nitapinga coz wewe si chanzo cha kila kitu.

Ufanano wa muundo na maelezo ya chanzo cha kila kitu(Mungu) ktk maandiko na science ni uthibitisho tosha.
 
Ukinambia wewe mungu nitapinga coz wewe si chanzo cha kila kitu.

Ufanano wa muundo na maelezo ya chanzo cha kila kitu(Mungu) ktk maandiko na science ni uthibitisho tosha.
Mungu sio chanzo cha kila kitu sababu nayeye ana Chanzo, Logically ...

Mungu kabla hajaanza kazi, Palishakuwepo Giza na vilindi vya maji, Nani aliviumba?

Sio huyohuyo ndiye alimuumba Mungu wa kwenye biblia kisha akamuweka juu ya Maji?

Mungu Fundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…