Mstoiki
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 4,365
- 8,384
Biblia .Nani kakudanganya kuwa vilikuepo kabla ya Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biblia .Nani kakudanganya kuwa vilikuepo kabla ya Mungu
Rudia kusoma tena kwa utulivu ueleweBiblia .
Rudia kusoma tena kwa utulivu uelewe
Mambo 2; kwanza hapa duniani hakunaga JINA la kitu halafu hicho kitu kiwe HAKIPO, kitu huanza kwanza then wanadamu hutafuta jina la hicho kitu, hiyo sababu yangu ya kwanza, ya pili ni hi, according to science nothing was made with nothing, if there is something existing somewhere, it is a MUST somebody somewhere made it and controls it. Naweza nisimjue huyo aliyeumba jua, naweza pia nisiwe na uthibitisho wa kisayansi lakini lazima kuna somebody alitengeneza and may be ana control pia.Sasa wewe uko sure kiasi gani na una uthibitisho upi kwamba Mungu yupo?
Kwamba usikute kwenye sayansi Mungu ndo ameitwa atom? 😂😂😂😂Yes, Mungu ni chanzo cha kila kitu, kupitia maandiko na science vyote vinamuelezea kwa maelezo sawa.
Kama atom? 😂😂😂Mungu ni mmoja, japo huitwa ktk majina tofauti.
Wala hayachanganyi mkuu, atheist ni wagonjwa wa akili, haiwezekani 3\4 ya watu duniani wana-experience ya deities alafu wao pekee wanaopinga deities ndo wajione wapo sahihi, huo ni ugonjwa wa akili.Haya mambo yanachanganya sana, ukijumlisha na mambo ya UAP, daah.
Ndio uthibitishe uwepo wa huyo Mungu wako unayesema yupo.Mambo 2; kwanza hapa duniani hakunaga JINA la kitu halafu hicho kitu kiwe HAKIPO,
Huyo Mungu wako ali exist vipi from nothing?kitu huanza kwanza then wanadamu hutafuta jina la hicho kitu, hiyo sababu yangu ya kwanza, ya pili ni hi, according to science nothing was made with nothing, if there is something existing somewhere, it is a MUST somebody somewhere made it and controls it.
Kama umeshindwa kumjua Aliyeumba, Uliwezaje kujua yupo?Naweza nisimjue huyo aliyeumba jua, naweza pia nisiwe na uthibitisho wa kisayansi lakini lazima kuna somebody alitengeneza and may be ana control pia.
This kind of fallacy is called ad hominem.Wala hayachanganyi mkuu, atheist ni wagonjwa wa akili,
3/4 ya watu duniani kuamini kwenye "Deities" Haimaanishi kwamba ndio kuna hao Deities kweli.haiwezekani 3\4 ya watu duniani wana-experience ya deities alafu wao pekee wanaopinga deities ndo wajione wapo sahihi, huo ni ugonjwa wa akili.
Utatu Mtakatifu.Salaam wakuu,
Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.
Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu).
Kwa mtiririko huo, nahitimisha kwa kusema, science inasupport uwepo wa Mungu kwa 100%.
Hata huyo Mungu au Allah wako Hawezi akawepo kwa dhati yeye mwenyewe tu, from nowhere.Sababu hauwezi kujifanya ukawepo kwa dhati yake wenyewe au ukawepo pasi na chochote. Kwa ziada Ulimwengu hauna maarifa, hauna malengo, hauna hekima, si mkamilifu.
Yeye ni critical, japo anachoamini kimeharibu akili yake totallySidhani kama ni master kihivyo
Maana unaleta hoja inabidi ajibu hoja yako kwenye hoja yako anakuuliza swali sasa hiyo
Ni debate au ni Q & A
Isaac Newton ni binadamu kama wengine, Na yeye anaweza kuwa na imani yake isiyokuwa na uthibitisho wowote ule.ISACK NEWTON Aliwahi kusema ''THERE MUST BE A SUPERNATURAL POWER BEYOND THE UNIVERSE ''
Atheist hana imani ya aina yeyote ile.Hii nayo ni imani.
Hata "Theist" ni asiyefikiri kwa undani juu ya ulimwengu na vilivyomo. Kwa ufupi nyie "Theists" ni Wapumbavu na wendawazimu.Kwa maana rahisi rahisi Atheist ni asiyefikiri kwa undani juu ya ulimwengu na vilivyomo. Kwa ufupi ni Mpumbavu.
Ninyi " Waamini Mungu" ndio hamnaga hoja. Na wala hamuwezagi kujenga hoja zaidi ya kuanza kutushambulia Atheists.Unawapa sifa wasiyo kuwa nayo, hawa sio werevu sababu mtu mwerevu hufikiria kwa usahihi.
Hawa wanafirikiria kitoto na kifalsafa. Hawajawahi kuwa na hoja wala hawatokuja kuwa na hoja.
Ninyi ndio waoga ambao badala ya kujibu maswali kwa hoja, mnaleta hadithi zenu za kwenye Quran na Biblia.Kwanza ni waoga wa kujibu maswali hakuna mfano.
Madai ya uwepo wa Mungu yametoka kwenu nyie Theists.Wanazo dai kuwa ni hoja hazigusi hoja za aliye dhidi yake.
Ukimuuliza akwambie alijuaje ya kuwa Mungu hayupo au akueleze ya kuwa ilikuwaje Ulimwengu ukawepo ? Hawana jibu la hayo maswali, halafu muda huo huo wanakana ya kuwa hskuna Mungu.
Ikiwa 3/4 ya watu timam duniani wana-experience deities, unadhani waliobaki wapo timamu?3/4 ya watu duniani kuamini kwenye "Deities" Haimaanishi kwamba ndio kuna hao Deities kweli.
Ni imani watu tu, Zisizokuwa na uthibitisho wowote ule.
Utimamu ni nini?Ikiwa 3/4 ya watu timam duniani wana-experience deities, unadhani waliobaki wapo timamu?
watu hawaamini ktk deities ajil ya kuaminishwa bali ni wana-experience ya deities.
Ahsante mkuu.Barikiwa
Mkuu tuishie hapa, maana umeishiwa hoja.Mimi sijaleta habari za "kila kitu kinatokana na atom", sijaweka statement yoyote ya "kila kitu".
Kwa nini unanipa mzigo wa kuelezea kila kitu ni nini wakati sijasema lolote kuhusu kila kitu?
We umejuaje kama kuna satellite zinazo tupatia mawasiliano ya wireless? Unao uthibitsho wowote? Well apart from Mungu, ni JINA gani ambalo lipo hapa duniani lakini kwenye hilo jina, hicho chenye jina HAKIPO. Nitajie kimoja tuNdio uthibitishe uwepo wa huyo Mungu wako unayesema yupo.
Huyo Mungu wako ali exist vipi from nothing?
If God exists, it is a MUST somebody somewhere made him.
You cannot exclude your God from this logic, then you start forcing that the universe must be made by somebody.
Kama umeshindwa kumjua Aliyeumba, Uliwezaje kujua yupo?
Au unafosi mawazo yako uchwara uliyo aminishwa na kupumbazwa na dini/ imani yako?