Science ina support uwepo wa Mungu

Science ina support uwepo wa Mungu

Mkuu tuishie hapa, maana umeishiwa hoja.
Wewe kuna maswali huko juu, Hujibu.

Unayapita kimya kimya kama huyaoni vile. Halafu unadai watu hawana hoja.

Sasa nakuuliza hivi..👇

1-Huyo Mungu kabla ya kuumba kitu chochote kile, Alikuwa wapi?

2- Huko alikokuwa kulitoka wapi?

3- Huko alikokuwa, kuliumbwa na nani au kulifanyika vipi?
(Maana uumbaji wa kitu chochote kile ulikuwa bado haujafanyika)
 
We umejuaje kama kuna satellite zinazo tupatia mawasiliano ya wireless?
Wewe ni kichwa maji kweli.

Kwa hiyo hujui kwamba, Satellites zilitengenezwa na hutengenezwa kisha hutumwa kwenye space?
Unao uthibitsho wowote? Well apart from Mungu, ni JINA gani ambalo lipo hapa duniani lakini kwenye hilo jina, hicho chenye jina HAKIPO. Nitajie kimoja tu
Dragons 🐉 watemao moto 🔥 midomoni mwao.

Jina lipo, ila wao hawapo katika uhalisia.
 
Wala hayachanganyi mkuu, atheist ni wagonjwa wa akili, haiwezekani 3\4 ya watu duniani wana-experience ya deities alafu wao pekee wanaopinga deities ndo wajione wapo sahihi, huo ni ugonjwa wa akili.
Haya mambo yanahitaji kuchimba sana na tafiti za muda mrefu kitu ambacho hatutakubali kupoteza huo muda...lazima akili zetu ziwe huru pindi mambo kama haya yanapojadiliwa, I sense kitu kwamba in future mambo mengi yatabadilika hasa kuhusu dhana nzima ya uwepo wetu duniani, Kwa trend hii.
 
The logic is simple, Wala Huitaji kuchimba sana.

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo chake kingine.

Na kutakuwa na vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho(Endless) to infinity....

Ili ulazima huu, U apply kwa kila kitu.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe tu from nowhere, Au kilicho exist chenyewe pasipo chanzo. Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist chenyewe pasipo chanzo?

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina chanzo, Hata Ulimwengu na vyote vilivyomo havihitaji na havina chanzo.
 
Naamini taratibu tutafika tunapotaka, in future Kila kitu kitakuwa wazi, vingine ni ngumu kuvijadili kwasababu ya hatua tuliyopo hivi Sasa.
 
Everything is made up of atom.

Kwa hiyo hakuna haja ya Muumbaji wa kila kitu.

Maana tayari "kila kitu" kina hiyo Atom ndani yake.

Labda huyo muumbaji asiwe Atom. Kitu ambacho hakiwezekani. Maana kitu chochote tayari ni Atom.
 
Sahihi umesema, Watu huzaliwa bila ufahamu. Na kama huna ufahamu pia huwezi kuwa na imani au dini

Atheist ni mtu asiye na imani ya aina yeyote ile.

Mtoto anapozaliwa anakuwa hana ufahamu wala imani ya aina yeyote ile. Mpaka pale atakapo aminishwa na kupewa imani/dini kutoka kwa wazazi au walezi wake.

Una elewa hilo?
Mkuu, unakielewa ulichoandika?

Hapa unapinga uwepo wa mungu kwa kutumia ufaham, huyo mtoto asie na ufaham wa kujua/kutojua uwepo wa deities atakuwaje atheist?
 
Mkuu, unakielewa ulichoandika?

Hapa unapinga uwepo wa mungu kwa kutumia ufaham, huyo mtoto asie na ufaham wa kujua/kutojua uwepo wa deities atakuwaje atheist?
Hata wewe unasema Mungu yupo kwa kutumia ufahamu.

Ufahamu upo kwa kila mtu anaye fikia umri wa kuwa nao regardless ana amini Mungu yupo au kujua hayupo

Mtoto hana ufahamu wa kitu chochote kile, Hata imani ya uwepo wa Deities hana bado. Mpaka pale atakapo aminishwa na wazazi/walezi wake imani za Deities.

Hivyo mtoto ni Atheist kwa sababu hana imani ya aina yeyote ile.

Atheist ni mtu asiye na imani ya aina yeyote ile.
 
Hata wewe unasema Mungu yupo kwa kutumia ufahamu.

Ufahamu upo kwa kila mtu anaye fikia umri wa kuwa nao regardless ana amini Mungu yupo au kujua hayupo

Mtoto hana ufahamu wa kitu chochote kile, Hata imani ya uwepo wa Deities hana bado. Mpaka pale atakapo aminishwa na wazazi/walezi wake imani za Deities.

Hivyo mtoto ni Atheist kwa sababu hana imani ya aina yeyote ile.

Atheist ni mtu asiye na imani ya aina yeyote ile.
Mtoto hawezi kua atheist coz hana ufaham wa kujua/kutojua uwepo wa deities.

Atheism ni kureject uwepo wa deities na si kutokua na imani yoyote kama unavodai.
 
Mtoto hawezi kua atheist coz hana ufaham wa kujua/kutojua uwepo wa deities.
Mtoto hana ufahamu wa aina yeyote ile.

Pia hawezi kuwa na imani ya aina yeyote ile.

Sawa tu na Atheist, Hatuna imani yeyote ile.

Usicho elewa ni nini?
Atheism ni kureject uwepo wa deities na si kutokua na imani yoyote kama unavodai.
Screenshot_20241120-090928_1.jpg

Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.

Na sisi Atheists hatuhitaji kuwa na imani, tunahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.

Hatuamini, tunataka kujua kwa uhakika.
 
Mtoto hana ufahamu wa aina yeyote ile.

Pia hawezi kuwa na imani ya aina yeyote ile.

Sawa tu na Atheist, Hatuna imani yeyote ile.

Usicho elewa ni nini?

View attachment 3156639

Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.

Na sisi Atheists hatuhitaji kuwa na imani, tunahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.

Hatuamini, tunataka kujua kwa uhakika.
Mkuu, mtoto asie na ufaham wa kujua/kutojua uwepo wa deities, hawezi kua sawa na mtu anaetumia ufaham wake kupinga uwepo wa deities.

Mkuu, hata kua na mtizamo/maoni tofauti juu ya jambo fulani ni imani pia.
 
Science haimini uwepo wa mungu bt inathibitisha uwepo wake kupitia atom.
This kind of fallacy is called, Logical non sequitur.

Una unganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.

Hakuna uhusiano wowote ule wa Mungu na Atom.

Atom ni kila kitu, And everything is made up of Atoms.

Sasa huyo Mungu ni nini?

Kama si dhana uchwara mlivyo jitungia vichwani mwenu na inayo exist kwenye vichwa vyenu tu, Ndio maana hamuwezi kuthibitisha uwepo wake.
 
Salaam wakuu,

Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.

Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu).

Kwa mtiririko huo, nahitimisha kwa kusema, science inasupport uwepo wa Mungu kwa 100%.

Mimi kama mmoja wa watu walioisoma Science kwa takriban miaka 11++ nakubaliana kabisa na uwepo wa Mungu mmoja tu, asiye na mshirika na mwenye mamlaka yote na sikubaliani kabisa na hoja zako sijui za mungu baba, mwana nk nk nk.

Kuna hoja serious za msingi zinazofanya wanasayansi waamini uwepo wa Mungu mmoja tu na mwenye mamlaka yote; hasa tunapo shindwa kupata majibu ya mambo flani flani kuhusu existence of the universe; pamoja kwamba kuna baadhi ya wana saiyansi mahiri walikuja na theory zao mfano; "The Big Bang theory" ambayo ni maarufu sana ila zote ni habari za kusadikika!
 
Pamoja na kwamba mimi kama mmoja wa watu walioisoma Science angalau kwa miaka 13 nakubaliana kabisa na uwepo wa Mungu mmoja tu mwenye malaka yote. Sikubaliani kabisa na hoja zako dhaifu sijui za Mungu baba, mwana nk nk nk nk
kuna mambo mengi serious ya msingi yanayofanya wanasayansi waamini uwepo wa Mungu hasa tunapo shindwa kupata majibu ya mambo flani flani kuhusu existence of the universe; pamoja kwamba kuna watu walikuja na theory zao kama "The Big Bang theory" ila zote ni habari za kusadikika!
Mkuu kutokubaliana nami, wala sio tatizo.

Nilichowasilisha mimi ni kua hata science inasupport muumbaji mmoja wa kila kitu anaezungumziwa ktk maandiko kupitia atom.
 
Mkuu, mtoto asie na ufaham wa kujua/kutojua uwepo wa deities, hawezi kua sawa na mtu anaetumia ufaham wake kupinga uwepo wa deities.
Kama mtoto hana ufahamu hawezi kuwa na imani ya deity yeyote yule.

Hana ufahamu, Hana imani.

Atheist tuna ufahamu, ila hatuna imani.

Ufahamu upo kwa mtu yeyote yule anayefikia umri wa kuwa nao, regardless awe Theist au Atheist.

Tofauti ni kwamba, Theists mnatumia ufahamu huohuo, Kusema kuna Mungu, Kwa sababu ndivyo mlivyo aminishwa na wazazi/walezi wenu.

Wewe unasema kuna Mungu kwa sababu uliambiwa na kuaminishwa na wazazi/walezi wako kwamba kuna Mungu.

Usingeambiwa na kuaminishwa hivyo, Ungebaki bila imani ya kuamini kuna Mungu

Na mtoto hawezi kusema kuna Mungu, Unless aambiwe hivyo.

Lakini asipo ambiwa habari zozote zile za uwepo wa Mungu, Mtoto huyo Atakuwa na ufahamu, ila Hatokuwa na imani ya Mungu. Unless aambiwe na kuaminishwa na watu wengine

Mkuu, hata kua na mtizamo/maoni tofauti juu ya jambo fulani ni imani pia.
Imani ni kutokuwa na uhakika juu ya jambo fulani.

Huwezi kuwa na imani ya kwamba kuna Miti🌳, Wakati tayari unajua na kuiona miti ipo.

Unakuwa na imani kwa kitu ambacho hakipo na wala hujui kama kipo na huwezi kuthibitisha uwepo wake.

Ndivyo ilivyo kwa huyo Mungu mnaye amini yupo, ila hamuwezi kuthibitisha uwepo wake.
 
Back
Top Bottom