Scopolamine/ Burundanga: Madawa ya kulevya hatari duniani

Hiv huyo jamaa pichani si ozil huyu alikuwa anamroga nani?
 
R.I.P Pablo Escobar
Pablo Emil Escobar

Huyu jamaa alikuwa na mtandao mkubwa sana na nguvu ya ajabu ya ushawishi kwa watu wake japo alikuwa mharifu wa kupindukia
 
King of Medellin drug cartel
Hatari sana huyu kwenye kesi zake alikuwa anaua kuanzia judges, advocates, policeofficers mpaka witnesses
 
Ila alikuwa mwema sana na msaada mkubwa kwa watu wa kawaida...walala hoi
 
Yah ndo mana ilikuwa ngumu sana kumkamata maana alikuwa anajificha Medelin ambapo ndo kitongoji alichokulia na ndio alikuwa anatoa sana misaada hapo medellin
 
Back
Top Bottom