Scott Adkins vs Michael Jay white

van damme yuko nae kwenye muvi zingine kama ile ya assassins sijui,n.k damme hayuko kwenye undisputed.Umenielewa vibaya.
 
Mbali ya kuwa waigizaji, katika maisha ya kawaida wamebobea kwenye sanaa za mapigano.
 
Michael J White ni kwere...hajui kuigiza hisia,lakin akianza kupiga unaona anajua sana
 
van damme yuko nae kwenye muvi zingine kama ile ya assassins sijui,n.k damme hayuko kwenye undisputed.Umenielewa vibaya.
Wengi hapo juu wamekomenti kwa ushabiki juu kwa mtu ambae anampenda.Undisputed zote,zile movie wako na Van damme n.k zote ziko poa pia kwa bwana scot adkins....labda mie ndio sikusoma vizuri hivi ulivyoandika
 
Mkuu kiswahili a tabu au,hizo koma huzioni kutenganisha sentensi moja na nyingine???!!!!

undisputed zote,,,,,,,,,,,,,,zile muvi wako na van dame n.k

nimeweka koma nyingi ili uone maana daah
 
Mkuu kiswahili a tabu au,hizo koma huzioni kutenganisha sentensi moja na nyingine???!!!!

undisputed zote,,,,,,,,,,,,,,zile muvi wako na van dame n.k

nimeweka koma nyingi ili uone maana daah
ni kweli kaka ila , ni kituo kidogo ukimaanisha sentesi itaendelea kwa maana ya muendelezo wa awali. Ungeweka nukta kama umefunga sentesi yako,maana yake ni kwamba umeanza sentensi mpya. lakini kuweka mkato na halafu neno linalofuata ni zile maana yake unaendeleza maelezo ya awali baada ya kupumzika kidogo.Embu soma mwandikie mtu mwingine halafu akupe comment ndio utajua ni wapi kuna kosa.
 
Kila nikicheki blood and bone nashindwa kumkosoa jay white
 
Kwenye fight scenes Scott Adkins anaweza kuwa kivutio zaidi lakini sio kwa kiasi kikubwa kuliko Michael Jai White, labda kutokana yeye kutumia zaidi jumping kicks & acrobatics kiasi cha kufanya scenes zake zivutie.

Lakini kwa upande wa uhalisia Michael yuko vizuri zaidi scenes zake ziko more focused & sharp.... labda kwa sababu ana background ya kyokushin karate ambayo ni style hardcore kweli kweli ngumi jiwe.
 
Namkubali boyka ana teke lake moja hivi amazing sana.
 
Bidada Kuwa mpole tu,mbona hapa ujaweka manukta na ma mikato kama pale juu? Kubali yaishe jisahihishe.
 
Wengi tunamtetea jey white kwakuwa ni mniga mwenzetu.ila ki ukweli boyka yuko njema mnoooo.
Jey white ye ni mzee wa ngumi jiwe,ila boyka mpeleke kote yuko poa. Kama ni kumpambanisha mie ningempambanisha na tony jaa naihisi aina ya michezo yao inafanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…