Scott Adkins vs Michael Jay white

Scott Adkins vs Michael Jay white

Mdau umesema Undisputed zote wako na Van Damme HOW? alikua as director au co-starring maana sikumbuki kama van damme kashiriki hizi muvi from Undisputed ya wesley snipes na Ving Rhames ya 2002, then Undisputed 2 The last man standing ya Michael Jai White vs Scott Adkins aka Yuri Boyka (2006), Halafu Undisputed 3 Redemption ya Boyka vs hristo shopov (2010) na mwisho Boyka:Undisputed ya 2016 ipi dame yupo? Ukisema kuwa jai ni mkali kuliko scott nahisi pia ni umesema kwa upenzi tu lakini kwa list ya top male martial arts for past decade namba moja ni the late bruce lee namba 2 ni scott adkins 3 michael jai white source;IMDb: Best"Martial arts" actors - a list by controlfreak1981 Then ukisema scott kapata boost ya ya dame ndio akafahamika kwa "wengi" inategemea sana upo deep na martial arts movie kwa kiwango gani na usipende sana kugeneralize mambo filamu iliyomuweka katika ramani ya Kidunia scott adkins ni Undisputed 2 The last man standing ya 2006 wengi ndio walipomfahamu zaidi hapo wala van damme hakuwepo, kaanza kuact na damme mwaka 2008 katika shepherd the road patrol Adkins yupo vizuri judo, taekwondo, Ninjutsu, Karate, Capoeira, Jujutsu, , Jeet Kune Do, Krav Maga, Wushu. Michael jai white ndio alianza ku act na damme mwaka 1992 katika Universal Soldier so kama ni boost ya damme nahic huyu bwana ndio alitakiwa aipate but amejiestablish mwenyewa katika muvi zake hasa ile ya Tyson ya mwaka 1995 na nyingine nyingi kama za tyler perry why did i get married na nyingi za action nadhan hapa ndio kidogo value yao inapotofautiana katika martial arts kwani scott asilimia kubwa ya muvi zake ni actions ukilinganisha na michael ambae ana actions na other themes. Michael yupo fiti Shotokan, Taekwondo, Kobudo, Goju Ryu Tang soo Doo, Wushu,Kyokushin na Jujutsu na Ana BLACKBELT katika styles zote hizo. Kwa hiyo ukiangalia uhalisia Michael Jai White yupo Juu kuliko Scott Adkins ila wenyewe huko wanona tofauti.
van damme yuko nae kwenye muvi zingine kama ile ya assassins sijui,n.k damme hayuko kwenye undisputed.Umenielewa vibaya.
 
Mbali ya kuwa waigizaji, katika maisha ya kawaida wamebobea kwenye sanaa za mapigano.
 
Michael J White ni kwere...hajui kuigiza hisia,lakin akianza kupiga unaona anajua sana
 
Wengi hapo juu wamekomenti kwa ushabiki juu kwa mtu ambae anampenda.Undisputed zote,zile movie wako na Van damme n.k zote ziko poa pia kwa bwana scot adkins.Ila kwa mtu mwenye jicho kali la movie huwezi muweka Scot mbele ya J white.J White ana uhalisia sana kwenye movie zake.Hana papara ni mtulivu na anajua kuvaa uhusika.
Hebu mcheki kwenye ile undisputed nadhani number 3 utajua jamaa ni mtu wa aina gani.Mcheki pia kwenye muvi ya blood and bone.Utaona jamaa ana kitu cha ziada.
Wote ni wazuri ila Scot kidogo alipata boost ya Van damme ndio maana wengi tukamjua sana
 
van damme yuko nae kwenye muvi zingine kama ile ya assassins sijui,n.k damme hayuko kwenye undisputed.Umenielewa vibaya.
Wengi hapo juu wamekomenti kwa ushabiki juu kwa mtu ambae anampenda.Undisputed zote,zile movie wako na Van damme n.k zote ziko poa pia kwa bwana scot adkins....labda mie ndio sikusoma vizuri hivi ulivyoandika
 
Wengi hapo juu wamekomenti kwa ushabiki juu kwa mtu ambae anampenda.Undisputed zote,zile movie wako na Van damme n.k zote ziko poa pia kwa bwana scot adkins....labda mie ndio sikusoma vizuri hivi ulivyoandika
Mkuu kiswahili a tabu au,hizo koma huzioni kutenganisha sentensi moja na nyingine???!!!!

undisputed zote,,,,,,,,,,,,,,zile muvi wako na van dame n.k

nimeweka koma nyingi ili uone maana daah
 
Mkuu kiswahili a tabu au,hizo koma huzioni kutenganisha sentensi moja na nyingine???!!!!

undisputed zote,,,,,,,,,,,,,,zile muvi wako na van dame n.k

nimeweka koma nyingi ili uone maana daah
ni kweli kaka ila , ni kituo kidogo ukimaanisha sentesi itaendelea kwa maana ya muendelezo wa awali. Ungeweka nukta kama umefunga sentesi yako,maana yake ni kwamba umeanza sentensi mpya. lakini kuweka mkato na halafu neno linalofuata ni zile maana yake unaendeleza maelezo ya awali baada ya kupumzika kidogo.Embu soma mwandikie mtu mwingine halafu akupe comment ndio utajua ni wapi kuna kosa.
 
Scott Adkins yupo vizuri sana kuliko Jay White ktk kuigiza iwe mapigo. Hatujui ktk uhalisia lakini hata ktk kuigiza Jay White anajulikana kama anaigiza, jamaa ni very immature ktk uigizaji. Namkubali Scott ni kama wakongwe akina Damme, Winsley Snipes, Billy Blanks, Michael Dudicoff, Jet Li, Bruce, Jet Li, Jack Chan, Don Yen, Bolo Young, na wengineo waigizaji wazuri hadi unadhania ni kweli. Jay White ni poor actor. Angalia akina Vann Diesel wako vizuri sana wanajua kuigiza. Yaani Ice Cube anajua kuigiza uhalisia kuliko Jay White. Jay ni kama Dolph poor actors although they know martial arts!!

Kila nikicheki blood and bone nashindwa kumkosoa jay white
 
Kwenye fight scenes Scott Adkins anaweza kuwa kivutio zaidi lakini sio kwa kiasi kikubwa kuliko Michael Jai White, labda kutokana yeye kutumia zaidi jumping kicks & acrobatics kiasi cha kufanya scenes zake zivutie.

Lakini kwa upande wa uhalisia Michael yuko vizuri zaidi scenes zake ziko more focused & sharp.... labda kwa sababu ana background ya kyokushin karate ambayo ni style hardcore kweli kweli ngumi jiwe.
 
Namkubali boyka ana teke lake moja hivi amazing sana.
 
ni kweli kaka ila , ni kituo kidogo ukimaanisha sentesi itaendelea kwa maana ya muendelezo wa awali. Ungeweka nukta kama umefunga sentesi yako,maana yake ni kwamba umeanza sentensi mpya. lakini kuweka mkato na halafu neno linalofuata ni zile maana yake unaendeleza maelezo ya awali baada ya kupumzika kidogo.Embu soma mwandikie mtu mwingine halafu akupe comment ndio utajua ni wapi kuna kosa.
Bidada Kuwa mpole tu,mbona hapa ujaweka manukta na ma mikato kama pale juu? Kubali yaishe jisahihishe.
 
Wengi tunamtetea jey white kwakuwa ni mniga mwenzetu.ila ki ukweli boyka yuko njema mnoooo.
Jey white ye ni mzee wa ngumi jiwe,ila boyka mpeleke kote yuko poa. Kama ni kumpambanisha mie ningempambanisha na tony jaa naihisi aina ya michezo yao inafanana.
 
Back
Top Bottom