Scottie Pippen

Scottie Pippen

Juzi Michael Jordan kashare kwenye FB page yake idadi kubwa ya viewers in NBA Final history na idadi ndogo. Idadi kubwa ya viewers ilikuwa ni fainali ya Da Bulls na Utah Jazz ambayo iliangaliwa na watu 36 millions na game ya pili ya Lakers na Miami juzi ndiyo iliyoangaliwa na watu wachache sana 5.7 millions.

Kaka umenikumbusha kitambo sana......enzi kikapu kinachezwa na wanaume haswa
 
Juzi Michael Jordan kashare kwenye FB page yake idadi kubwa ya viewers in NBA Final history na idadi ndogo. Idadi kubwa ya viewers ilikuwa ni fainali ya Da Bulls na Utah Jazz ambayo iliangaliwa na watu 36 millions na game ya pili ya Lakers na Miami juzi ndiyo iliyoangaliwa na watu wachache sana 5.7 millions.
Bulls vs uttah huku Jordan huku mtu mzima Karl malone... Unakumbuka hiyo shughuli... Siku zinasonga sana..
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nikikumbuka natabasamu maana kuna wakati nilikuwa naikimbia TV 😂😂especially zile last few seconds kwa kudhani Da Bulls wasingeshinda ila series.

Bulls vs uttah huku Jordan huku mtu mzima Karl malone... Unakumbuka hiyo shughuli... Siku zinasonga sana..
 
Nikikumbuka natabasamu maana kuna wakati nilikuwa naikimbia TV [emoji23][emoji23]especially zile last few seconds kwa kudhani Da Bulls wasingeshinda ila series.
[emoji2][emoji2][emoji28]dah what a memory!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
LeBron James is evil, ...

1601833867181.png
 
Pamoja na udogoless na nilikuwa Kijijini Ila shuguli pippen na Jordan nilikuwa naifahamu.
 
Jamaa alikuwa mzuri sana na nilifurahi kwenye ile Last dance Michael Jordan aliposema, “"Whenever they speak Michael Jordan, they should speak Scottie Pippen. When everybody says, well, I won all these championships- but I didn't win without Scottie Pippen. And that's why I consider him my best teammate of all-time."

Mkuu umenikumbusha huyu mwamba alivyokuwa anakiwasha ndani ya NBA.
 
Back
Top Bottom