Scout toka ulaya: Simba vichekesho havita isha

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Maoni ya mwanachama

Je huyu scout atasajiri wazungu (kina Dejan) kutoka uholanzi au wachezaji wa hapa hapa Africa [emoji38][emoji38]
...................................
Hivi Simba SC tuna akili kweli mtu alikuwa kiongozi wa mashabiki huko uholanzi leo kawa skauti ya usajili [emoji881] acha tuone kila msimu tunaanzaga hivi hivi mnatupumbaza mashabiki na ivi mshatufanya kama mashabiki wa UTOPOLO[emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Fikiria timu haina mtu wa kufatilia mechi au mpinzani anaecheza na SIMBA yuko vipi mzuri wapi na anamazaifu yapi ndo mnaajili mshabiki tafuteni watu husika skauti ndiyo ilitakiwa kuboresha lakini so kwa kumchukua mshabiki kisa tu anaishi uholanzi wana simba na msimu huu tunapigwa za uso labda Mungu tu atusaidie [emoji120][emoji120][emoji120]

NB: huyu ni sawa kubwa[emoji38][emoji38]
 
Kwa sababi ni mzungu. Mbali na simba huyu jamaa keshafanya wapi hiyo kazi??
 
Huyu scout mkuu mbali na kuwa mkuu wa mashabiki wa makolo kule kwao lakini pia alikuwa ni meneja wa kiwanda cha vibiriti cha mo huko kwao kwa hiyo ni mzuri katika kukiwasha.
 
Usitulinganishe wana utopolo na wajinga sisi. Kwa Sasa Wana utopolo tupo kwenye Dunia yetu peke yetu. Sisi siyo level zenu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…