Scout wa kujitolea wa Simba Sports Club

Scout wa kujitolea wa Simba Sports Club

Viongozi leo nawaletea update ya
WASHAMBULIAJI WAPYA WENYE VIPAJI (NEW RECOMMENDATIONS)

TOP PICK Frank Mbella Etouga (Cameroon)
Klabu ya sasa: Al Masry (Egypt) / Zamalek SC (Ilaoshe)
Umri: 22
Kwa nini anafaa?
Alikuwa Mfungaji Bora wa Ligi ya Ghana (2021/22) akiwa na Asante Kotoko (25+ goals).
Ana kasi, nguvu, na uwezo wa kufunga kwa miguu yote miwili
Uzoefu wa CAF Champions League na Ligi ya Misri.

Evans Adotey (Ghana)
Klabu ya sasa Dreams FC (Ghana)
Umri: 21
Kwa nini anafaa?
Mwenye kasi ya hali ya juu na uwezo wa kuvunja mistari ya ulinzi.
Amefunga 10+ goalsGhana Premier League msimu uliopita.
Bei: $200K-$400K.

TARGET MAN Mohamed Lamine Dansoko (Guinea)
Klabu ya sasa:Hafia FC (Guinea) / Horoya AC
Umri: 23
Kwa nini anafaa?
Mshambuliaji mwenye nguvu na uwezo wa kufunga mipira ya juu
Ana uzoefu wa CAF Confederation Cup.
Bei:$300K-$500K.

TECHNICAL WINGER Mamadou Ba (Senegal)
Klabu ya sasa:Casa Sports (Senegal)
Umri: 22
Kwa nini anafaa?
Winga mwenye ufundi anayeweza kucheza kama second striker...
Ana dribbling na uwezo wa kufunga magoli muhimu.
Bei ya chini: $150K-$300K.
 
Back
Top Bottom