Scramble and partition of Congo: Kati ya hawa nioneshe asiye na maslahi huko Congo nikuoneshe malaika akiwa bila nguo

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Hakuna mwenye nia ya dhati ya kuikomboa Congo. Watu wanazidiana kupata maslahi siyo kuleta amani ya kweli Congo.

M23 ni jeshi ambalo wakiamua kulifuta linafutika hata kama linasaidiwa na Kagame. Kagame ana jeshi kubwa kiasi gani?

Watu wanaangalia maslahi yao tu hamna jipya. Nitawaletea yaliyojiri chini ya carpet.
 
1739021424825.png
 
Paul, ana bifu na wanyarwanda waliopo DRC ambao ni part ya M23, ni threat sana kwake, ndyo waliokimbia Rwanda baada ya RPF kuchukua nchi, issue ni compex sana, ref hotuba ya Hayati Mwl Nyerere, amesimulia vizuri hiyo complexity
... Nyerere alilalia kwa wajori zake, Museven na Kagame, waliokuwa wanampetipeti kwa RUSHWA ya maziwa na vizawadi vya ng'ombe wenye pembe ndefundefu huku wakimsifia sana (tunajua walikuwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa!)
USHAHIDI WA NYERERE HAPA NI BATILI!
NB: Habyarimana alipotunguliwa Watutsi wa Bongo walianza kufanya sherehe na Waziri wa mambo ya ndani akaamuru washughulikiwe! unajui nini kilifuata? Nyerere, akiwa mstaafu, alimpiga marufuku Waziri asitimize amri aliyotoa (kama sisahau alikuwa Mrema)!
 
... Nyerere alilalia kwa wajori zake, Museven na Kagame, waliokuwa wanampetipeti kwa RUSHWA ya maziwa na vizawadi vya ng'ombe wenye pembe ndefundefu huku wakimsifia sana (tunajua walikuwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa!)
USHAHIDI WA NYERERE HAPA NI BATILI!
JKN hakuwahi kuwa corrupt!!
 
Hakuna mwenye nia ya dhati ya kuikomboa Congo. Watu wanazidiana kupata maslahi siyo kuleta amani ya kweli Congo.

M23 ni jeshi ambalo wakiamua kulifuta linafutika hata kama linasaidiwa na Kagame. Kagame ana jeshi kubwa kiasi gani?

Watu wanaangalia maslahi yao tu hamna jipya. Nitawaletea yaliyojiri chini ya carpet.
M23 siyo ya kufuta kiurahisi.Kuifuta kiurahisi ni kutimiza madai ya wazalendo M23 ambayo Moja wapo ni kuwatambua kuwa watusi wa Kongo(banyamulenge)ni raia wa congo na kuacha kuwabagua.Tofauti na hapo vita itakuwa endelevu
 
1. Someni Mkataba Wa LAMELA UNAVYOITESA CONGO.

2. Tanzanganyika Tunanufaika na Mgogoro Mali zote zinazopitishwa Bandarini mzigo mkunbwa unaenda kwa Kagame. (Rwanda)
Hatupo tauyari kumpiga kagame na M23 yake.

3. Congo nayo ina wananchi wapumbavu mno.
UTAJIRI NA RASLIMALI ZINAITESA CONGO INAUMIZA SANA.

4. Banyamulenge ( watutsi ) ukabila unautesa congo.
 
... Nyerere alilalia kwa wajori zake, Museven na Kagame, waliokuwa wanampetipeti kwa RUSHWA ya maziwa na vizawadi vya ng'ombe wenye pembe ndefundefu huku wakimsifia sana (tunajua walikuwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa!)
USHAHIDI WA NYERERE HAPA NI BATILI!
NB: Habyarimana alipotunguliwa Wtutsi wa Bongo walianza kufanya sherehe na Waziri wa mambo ya ndani akaamuru washughulikiwe! unajui nini kilifuata? Nyerere, akiwa mstaafu, alimpiga marufuku Waziri asitimize amri aliyotoa (kama sisahau alikuwa Mrema)!
Haya ndiyo mambo yakutujuza lakini mnaamua kukaa kimya tu wakubwa.
Kweli?
 
1. Someni Mkataba Wa LAMELA UNAVYOITESA CONGO.

2. Tanzanganyika Tunanufaika na Mgogoro Mali zote zinazopitishwa Bandarini mzigo mkunbwa unaenda kwa Kagame. (Rwanda)
Hatupo tauyari kumpiga kagame na M23 yake.

3. Congo nayo ina wananchi wapumbavu mno.
UTAJIRI NA RASLIMALI ZINAITESA CONGO INAUMIZA SANA.

4. Banyamulenge ( watutsi ) ukabila unautesa congo.
Uzalendo Congo haupo. Rushwa inawaliza wa Congo.
 
Paul, ana bifu na wanyarwanda waliopo DRC ambao ni part ya M23, ni threat sana kwake, ndyo waliokimbia Rwanda baada ya RPF kuchukua nchi, issue ni compex sana, ref hotuba ya Hayati Mwl Nyerere, amesimulia vizuri hiyo complexity
Je ni sahihi kwa yeye kupenyeza vikosi vyake ndani ya nchi ingine
 
2. Tanzanganyika Tunanufaika na Mgogoro Mali zote zinazopitishwa Bandarini mzigo mkunbwa unaenda kwa Kagame. (Rwanda)
Hatupo tauyari kumpiga kagame na M23 yake
Hii haina ukweli,kwanza ni wasumbufu wanataka wabembelezwe sana mara wapitishie mizigo yao Mombasa lakini hata wakipitishia mizigo yao yote Dar es Salaam hawana mzigo wowote wa maana.
Wateja wakubwa wa bandari ya Dar es Salaam ni Zambia na DRC.
 
Hakuna mwenye nia ya dhati ya kuikomboa Congo. Watu wanazidiana kupata maslahi siyo kuleta amani ya kweli Congo.

M23 ni jeshi ambalo wakiamua kulifuta linafutika hata kama linasaidiwa na Kagame. Kagame ana jeshi kubwa kiasi gani?

Watu wanaangalia maslahi yao tu hamna jipya. Nitawaletea yaliyojiri chini ya carpet.
naaamini wengi wanaona bora ikatike vipande tu ili mavita yaishe, na yanaweza kuisha kweli.
 
Back
Top Bottom