M23 siyo ya kufuta kiurahisi.Kuifuta kiurahisi ni kutimiza madai ya wazalendo M23 ambayo Moja wapo ni kuwatambua kuwa watusi wa Kongo(banyamulenge)ni raia wa congo na kuacha kuwabagua.Tofauti na hapo vita itakuwa endelevu
..m23 inaweza kufutika ikiwa ufadhili toka Rwanda na Uganda utakoma.
..hakuna aliyeamini Renamo ya Msumbiji inaweza kuacha ugaidi na kuwa chama cha siasa mpaka pale wafadhili wake wa kijeshi walipokoma.