Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
LetaNitawaletea yaliyojiri... Chini ya carpet.
Paul, ana bifu na wanyarwanda waliopo DRC ambao ni part ya M23, ni threat sana kwake, ndyo waliokimbia Rwanda baada ya RPF kuchukua nchi, issue ni compex sana, ref hotuba ya Hayati Mwl Nyerere, amesimulia vizuri hiyo complexity
... Nyerere alilalia kwa wajori zake, Museven na Kagame, waliokuwa wanampetipeti kwa RUSHWA ya maziwa na vizawadi vya ng'ombe wenye pembe ndefundefu huku wakimsifia sana (tunajua walikuwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa!)Paul, ana bifu na wanyarwanda waliopo DRC ambao ni part ya M23, ni threat sana kwake, ndyo waliokimbia Rwanda baada ya RPF kuchukua nchi, issue ni compex sana, ref hotuba ya Hayati Mwl Nyerere, amesimulia vizuri hiyo complexity
JKN hakuwahi kuwa corrupt!!... Nyerere alilalia kwa wajori zake, Museven na Kagame, waliokuwa wanampetipeti kwa RUSHWA ya maziwa na vizawadi vya ng'ombe wenye pembe ndefundefu huku wakimsifia sana (tunajua walikuwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa!)
USHAHIDI WA NYERERE HAPA NI BATILI!
... he was power corrupted! ... and intelligent people, like Kagame and Museveni, can harness the power emitting from such people by pretending to be bootlickers while hiding their main agenda!JKN hakuwahi kuwa corrupt!!
M23 siyo ya kufuta kiurahisi.Kuifuta kiurahisi ni kutimiza madai ya wazalendo M23 ambayo Moja wapo ni kuwatambua kuwa watusi wa Kongo(banyamulenge)ni raia wa congo na kuacha kuwabagua.Tofauti na hapo vita itakuwa endelevuHakuna mwenye nia ya dhati ya kuikomboa Congo. Watu wanazidiana kupata maslahi siyo kuleta amani ya kweli Congo.
M23 ni jeshi ambalo wakiamua kulifuta linafutika hata kama linasaidiwa na Kagame. Kagame ana jeshi kubwa kiasi gani?
Watu wanaangalia maslahi yao tu hamna jipya. Nitawaletea yaliyojiri chini ya carpet.
Haya ndiyo mambo yakutujuza lakini mnaamua kukaa kimya tu wakubwa.... Nyerere alilalia kwa wajori zake, Museven na Kagame, waliokuwa wanampetipeti kwa RUSHWA ya maziwa na vizawadi vya ng'ombe wenye pembe ndefundefu huku wakimsifia sana (tunajua walikuwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa!)
USHAHIDI WA NYERERE HAPA NI BATILI!
NB: Habyarimana alipotunguliwa Wtutsi wa Bongo walianza kufanya sherehe na Waziri wa mambo ya ndani akaamuru washughulikiwe! unajui nini kilifuata? Nyerere, akiwa mstaafu, alimpiga marufuku Waziri asitimize amri aliyotoa (kama sisahau alikuwa Mrema)!
Uzalendo Congo haupo. Rushwa inawaliza wa Congo.1. Someni Mkataba Wa LAMELA UNAVYOITESA CONGO.
2. Tanzanganyika Tunanufaika na Mgogoro Mali zote zinazopitishwa Bandarini mzigo mkunbwa unaenda kwa Kagame. (Rwanda)
Hatupo tauyari kumpiga kagame na M23 yake.
3. Congo nayo ina wananchi wapumbavu mno.
UTAJIRI NA RASLIMALI ZINAITESA CONGO INAUMIZA SANA.
4. Banyamulenge ( watutsi ) ukabila unautesa congo.
Suti nyeusi na blue wanonyesheana vidole ndio wenye nchi zao RC.?
Je ni sahihi kwa yeye kupenyeza vikosi vyake ndani ya nchi inginePaul, ana bifu na wanyarwanda waliopo DRC ambao ni part ya M23, ni threat sana kwake, ndyo waliokimbia Rwanda baada ya RPF kuchukua nchi, issue ni compex sana, ref hotuba ya Hayati Mwl Nyerere, amesimulia vizuri hiyo complexity
Mkuu ungenipa nondo kidogo kisa cha jkn na hao wajori zake m7 na pk... he was power corrupted! ... and intelligent people, like Kagame and Museveni, can harness the power emitting from such people by pretending to be bootlickers while hiding their main agenda!
... pekua mabuku na mtandao!Mkuu ungenipa nondo kidogo kisa cha jkn na hao wajori zake m7 na pk
Hii haina ukweli,kwanza ni wasumbufu wanataka wabembelezwe sana mara wapitishie mizigo yao Mombasa lakini hata wakipitishia mizigo yao yote Dar es Salaam hawana mzigo wowote wa maana.2. Tanzanganyika Tunanufaika na Mgogoro Mali zote zinazopitishwa Bandarini mzigo mkunbwa unaenda kwa Kagame. (Rwanda)
Hatupo tauyari kumpiga kagame na M23 yake
Mchora hii katuni mungu anakuona, mwenye kofia yenye mapembe na yule alojishika kidevu karibu na mtu tall kabisa mmmh!!
naaamini wengi wanaona bora ikatike vipande tu ili mavita yaishe, na yanaweza kuisha kweli.Hakuna mwenye nia ya dhati ya kuikomboa Congo. Watu wanazidiana kupata maslahi siyo kuleta amani ya kweli Congo.
M23 ni jeshi ambalo wakiamua kulifuta linafutika hata kama linasaidiwa na Kagame. Kagame ana jeshi kubwa kiasi gani?
Watu wanaangalia maslahi yao tu hamna jipya. Nitawaletea yaliyojiri chini ya carpet.