Ngoja wadau waje Mimi huwa situmii App Mkuu natumia tu file la simu .Ni app gani nzuri ya kusikiliza music mkuu
me naona boomplay haijawahi kunidisappoint. Wanatoa mpaka ofa, premium subscription now monthly nalipa 3500 tu.Ni app gani nzuri ya kusikiliza music mkuu
Nashukur sanaa ngoja nijaribu apple musicme naona boomplay haijawahi kunidisappoint. Wanatoa mpaka ofa, premium subscription now monthly nalipa 3500 tu.
Inakera tu pale napobadili simu.. zile downloaded songs hazirudi kama downloads. Zinaenda kaa kwa Favourite, so inabidi udownload upya.
Audiomack siwezi tumia.. matangazo na upuuzi wa kukosa baadhi ya nyimbo ni mwingi.
Sporty pia nzuri.ila ilinigomea premium. Nikaiacha
Apple music pia nzuri..
Napitia pitia mafailiHahaha unafanya nini Evelyn
Monthly subs ni 7500.. utaEnjoy.Nashukur sanaa ngoja nijaribu apple music
Mkuu wewe ni me au ke?
Ke πMkuu wewe ni me au ke?